Pigo lingine kwa Hezbollah. Jeshi la Israel lamuua kamanda mkuu wa kikosi cha mizinga na makombora

Pigo lingine kwa Hezbollah. Jeshi la Israel lamuua kamanda mkuu wa kikosi cha mizinga na makombora

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'UN

Rest in Peace
1727193841320.png

aliekuwa Kamanda wa Hezbollah kikosi cha mizinga, Ibrahim Muhammad Qabisi, ameuawa akiwa ndani ya nyumba aliyojificha jijini Beirut, Lebanon.

Ni baada ya Mossad kupata intelejensia sahihi kwa wakati sahihi na mahali sahihi, wakazifowadi taarifa kwenda jeshi la anga la Israel kummaliza.

1727195132325.png

1727193654783.png

The IDF announces that today (Tuesday), September 24, 2024, with the direction of precise IDF intelligence, the IAF struck in the area of Dahieh in Beirut and eliminated the terrorist Ibrahim Muhammad Qabisi, Head of the Missiles and Rockets Force of the Hezbollah terrorist organization. Qabisi was struck alongside additional central commanders in Hezbollah's Missiles and Rockets Force.

Qabisi commanded several missile units within the Hezbollah terrorist organization, including the Precision Guided Missile Unit.

Over the years and during the war, he was responsible for launching missiles toward the Israeli civilians.

Qabisi was a significant source of knowledge in the field of missiles and had close ties to senior military leaders in Hezbollah.

Ibrahim Muhammad Qabisi joined Hezbollah in the 1980s and has since held several significant military roles within the terrorist organization, including as a senior officer in Hezbollah's Operations Unit in southern Lebanon and commanding the Badr Unit on Hezbollah’s Southern Front.

In these roles, he was responsible for planning and executing numerous terror attacks against Israeli civilians and soldiers.
 
Hezbollah wamekuwa compromised sana hawajamaa yaani viongozi wao muhimu Ndio wanakufa... Si bure serikali ya Lebanon inawapa Siri za Hezbollah Israel
zile mbwembwe na tambo za October 7th kutokea kwa Hamas na Hizbullah na wapambe wao sasa zinageuka kilio tena cha kwikwi tena kikubwa huku wakiomba huruma ya dunia
 
Huenda Israel wanamashushushu ndani ya Hezbollah
Israel ni kati ya nchi ambazo zina mashushu wa hali ya juu kupindukia. Kama umewahi isoma biblia utakuwa unakumbuka kisa cha Musa alipowatuma wapelelezi 12 wakaipeleleze nchi ya Kanaani. Musa aliwambia wapelelezi watembee nchi mzima wakipeleleza. Wachunguze nchi hiyo yote – Wapi penye miji imejengwa. Ni watu gani waliishi huko? Nchi hiyo ina mali au la? Matunda gani yanakua huko? Musa alituma wapelelezi kutazama nchi na wawe na ramani ya vilima, mito, misitu na milima. Wakirudi waambie watu kila kitu walichopata na kuona. Sasa mpaka hapa hapa unaweza ona ni jinsi gani ujasusi walianza siku nyingi sana kumbuka hiyo ni miaka mingi sana kabla ya kuzaliwa Kristo Yesu
 
Upelelezi ni sehemu ya damu yao
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Rest in Peace
View attachment 3105539

aliekuwa Kamanda wa Hezbollah kikosi cha mizinga, Ibrahim Muhammad Qabisi, ameuawa akiwa ndani ya nyumba aliyojificha jijini Beirut, Lebanon.

Ni baada ya Mossad kupata intelejensia sahihi kwa wakati sahihi na mahali sahihi, wakazifowadi taarifa kwenda jeshi la anga la Israel kummaliza.

View attachment 3105536

View attachment 3105503
Huyu jamaa niliwahi kukutana naye Ubaruku, alifikia Rujewa.
 
🤝🫸🫷👐🪆🏃‍♀️👆👋👇👉🤛🏃💋💞⏰️✍️🛂🟠🥐✋️🙄🤚🪂☂️⬛️
 
Wananchi wengi wa Lebanon wanaichukua Hezbollah na hata ndani ya jamii za Hezbollah wanachukia unyanyasaji wao, Ni rahisi Israel kupata taarifa
Lebanon kuna upande wa shia ndio hao hezbollah,
Upande mwingine ni sunni wanaoshirikiana na Christians.
Ndio maana unaona upande unaoshambuliwa ni wa shia, na ule upande wa pili waligoma kupokea wanaokimbia vita japo ni nchi moja.
 
Usiwe unaamini sana habari za wayahudi hakuna watu waongo duniani kama hao. Jana wametangaza kupiga location 8000 za Hezbollah Jana hiyo hiyo Hezbollah wameanza kuwawashia moto None stop mpaka muda huu.
 
Back
Top Bottom