Pigo lingine kwa Hezbollah. Jeshi la Israel lamuua kamanda mkuu wa kikosi cha mizinga na makombora

Israel mbona inamchelewesha Nasrullah kumpeleka akapewe bikira zake 72?
 
Usiwe unaamini sana habari za wayahudi hakuna watu waongo duniani kama hao. Jana wametangaza kupiga location 8000 za Hezbollah Jana hiyo hiyo Hezbollah wameanza kuwawashia moto None stop mpaka muda huu.
Kwa hiyo taarifa za kobazi ndio za kuamini zipo sahihi acha ubishi kijana
 
Mmekaririshwa sana mpaka mnatia kinyaaa. Kasehemu kadogo kama Gaza hawajui mateka wako wapi wala kiongozi wa Hamasi pamoja na kuikalia Gaza

Ungesema Israeli inaongoza kwa fitna duniani ungeeleweka. Tena fitna wameanza kitambo kabla YESU ajazaliwa
 
Hawa jamaa wabishi sana wao wanakesha madrasa badala ya kukazana na shule. Wangejua wayahudi wallijipanga miaka mingapi mpaka kuja kuanzisha Israel.
 
Hezbollah ni dhaifu mno kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…