Pigo lingine kwa Hezbollah. Jeshi la Israel lamuua kamanda mkuu wa kikosi cha mizinga na makombora

Israel ktk dunia wanauwezo mkubwa sana wakivita na intelligence na ndio maama USA hata uwape nn hawezi kuiacha Israel waangamie.
Urusi mwenyewe kwa sasa anaenda kuomba mafunzo Israel
Wamajeshi dogo ila wanauwezo mkubwa wakivita. Duniani hakuna... ndio jeshi limepigana miaka yote tangu kabla ya kuja Yesu.. acha kabisa...
 
Ungejua hawaelewani kabisa
Fitina hizo za Israel .ni sawa na useme chadema na CCM hawaelewani na wote ni watanzania. Hezbollah ni chama cha siasa chenye wabunge wengi huko Lebanon au wewe ulikua unajuaje?
 
Hezbollah wamekuwa compromised sana hawajamaa yaani viongozi wao muhimu Ndio wanakufa... Si bure serikali ya Lebanon inawapa Siri za Hezbollah Israel
Iko hivi,zile pagers na walkie talkies walizokuwa nazo mazombie ya hizbullah ziliwezesha mayahudi kupata exact location za maghala ya silaha panoja na kuwatrack hezbullah.Kinachotokea saahizi jamaa wanajipigia mazombi kiulaini kabisa
 
Shida sio askari shida ni "UONGOZI" liogope sana hilo neno ndio maana wao israel wanapiga uongozi wa askari na sio askari
Kwenye jeshi la watu laki utakosa viongozi!?..huandaliwa vipi hilo jeshi?..ukiua viongozi buku jwtz ndo kusema jeshi litakosa uongozi?
 
Kwenye jeshi la watu laki utakosa viongozi!?..huandaliwa vipi hilo jeshi?..ukiua viongozi buku jwtz ndo kusema jeshi litakosa uongozi?
Kumuandaa kiongozi hasa Hawa wa vikosi vya ulinzi ni gharama kubwa sana ukimpoteza maana yake umekula hasara hata kama yupo atakayem replace ila ni watu wawili tofauti kabisa.
 
Kumuandaa kiongozi hasa Hawa wa vikosi vya ulinzi ni gharama kubwa sana ukimpoteza maana yake umekula hasara hata kama yupo atakayem replace ila ni watu wawili tofauti kabisa.
Kuna succession plan jeshini,ni suala la muda mtu hutoka na kuingia
 
Uwezo gani kununua taarifa na kurusha ndege vita ambazo ata jamaa zetu pale ngerengere wanazichezea kama hawana akili nzuri, fuatilia ground battle ya Al quds uje ulete majibu hapa nini kina wakuta
 
Kwenye jeshi la watu laki utakosa viongozi!?..huandaliwa vipi hilo jeshi?..ukiua viongozi buku jwtz ndo kusema jeshi litakosa uongozi?
Asa si wote wangekuwa viongozi ndio ungeona
Kwani wewe hata hufuatilii nenda Somalia uone madhara
 
Hizbullah ina askari laki moja plus,hapo mwingine anashika bendera, safari inaendelea
una umri gani wewe? unakumbuka kundi la kigaidi lilijulikana kama the black september? basi israel alikuwa nawaua viongozi tuu mmoja mmoja mpaka walipokwisha wote likabakia halina kichwa.
 
Hivi Kuna Wananchi wanaomchukia Netanyahu na serikali yake kama wayahudi kwa sasa? Hizi habari Huwa mnazipata wapi?c

Fitina hizo za Israel .ni sawa na useme chadema na CCM hawaelewani na wote ni watanzania. Hezbollah ni chama cha siasa chenye wabunge wengi huko Lebanon au wewe ulikua unajuaje?
Hezbullah ni kundi la kigaidi la kiislam.
Kwenye uislam hakunaga chama bali kundi
 
zile mbwembwe na tambo za October 7th kutokea kwa Hamas na Hizbullah na wapambe wao sasa zinageuka kilio tena cha kwikwi tena kikubwa huku wakiomba huruma ya dunia
Magaidi uchwara ya kidini ya humu jamii forum yana kazi sana kutetea na kushabikia upuuzi...! Yaaaani unakuwa shabiki na mfuasi na mtetezi wa kikundi cha kipumbuvu kabsa cha Hezbollah ambacho hakina faida yoyote chini ya jua.
 
una umri gani wewe? unakumbuka kundi la kigaidi lilijulikana kama the black september? basi israel alikuwa nawaua viongozi tuu mmoja mmoja mpaka walipokwisha wote likabakia halina kichwa.
Mbinu ya kizamani haifanyi kazi leo, hizbullah siyo kundi ni jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…