mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Pikipiki aina ya SANLG nyekundu yenye namba.T 672 CED imeibiwa baada ya mwenye nayo kuipaki nje ya benki ya NMB BUNDA MJINI na kuingia ndani.
Alipomaliza shida yake benki kutoka akakuta haipo.Tafadhali atakayeona hiyo pikipiki atoe taarifa kituo cha Polisi Bunda au kituo chochote cha polisi kilichopo karibu.