Pikipiki aina SANLG yaibiwa Bunda mjini

Pikipiki aina SANLG yaibiwa Bunda mjini

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Pikipiki aina ya SANLG nyekundu yenye namba.T 672 CED imeibiwa baada ya mwenye nayo kuipaki nje ya benki ya NMB BUNDA MJINI na kuingia ndani.

Alipomaliza shida yake benki kutoka akakuta haipo.Tafadhali atakayeona hiyo pikipiki atoe taarifa kituo cha Polisi Bunda au kituo chochote cha polisi kilichopo karibu.
 
Pole sana kwa kuibiwa usafiri wako! Wezi wanarudisha sana nyuma maendeleo ya watu!
 
Mura mang'ana yaa sarikire mura. Pikipiki uliyotolea jasho hivi hivi. Inatia hasira ndio maana ni rahisi sana kumpiga mwizi mpaka akafa.
Rafiki yangu aliibiwaga pikipiki, kufika mbele kidogo pikipiki ikazimika wakamkamata mwizi. Jamaa yangu alimpiga mwizi ngumi mpaka jamaa yangu akavunjika mkono hadi kuwekewa hogo
 
Pikipiki aina ya SANLG nyekundu yenye namba.T 672 CED imeibiwa baada ya mwenye nayo kuipaki nje ya benki ya NMB BUNDA MJINI na kuingia ndani.

Alipomaliza shida yake benki kutoka akakuta haipo.Tafadhali atakayeona hiyo pikipiki atoe taarifa kituo cha Polisi Bunda au kituo chochote cha polisi kilichopo karibu.
Chief kama hukuripoti polisi plz nenda karipoti itasaidia sana
 
Back
Top Bottom