HahahahaaVp nkuletee pikipiki TVS inayokula MCHEMSHO??
Au walichezea Carburetor?Salaam waungwana mafundi Wa ukweli Na wale makanjanja mnaotengeneza hiki huku mnaaribu kile ili turudi kwenu Mara kwa Mara salaam sana
Jama Nina pikipiki yangu aina ya TVS cc150 cha kushangaza kama mwezi sasa hivi inakula mafuta sana mwanzoni nikiweka Lita 2 natumia Siku nzima Na kesho asubuhi inanibeba hadi mzigoni lakinj sasa zaidi ya Lita 3 Na asubuhi lazima niweke mafuta nikitoka nyumbani
Naomba msaada Kwa ushauri tafadhali
Una taka msaada gani we KINJE? Kama kwako huo nliotoa si ushauri ungekaa kimya!!Kama huna msaada ungefunga bakuli lako sio lazima uchangie kinyambe
Hizi zinakuwa na miss ya ajabu mafundi wengi wamechemsha na ndio sababu ya kutumia mafuta mengiTVS 150 hazijawah kuwa nzuri hafadhar ya 125
Subiri wenyeji wa DAR watakujibu mkuuSorry na mimi napindisha kidogo mada..... Samahani kwa Dar ni duka gani wanauza vifaa vya pikipiki aina ya TVS King 125HLX kwa bei nafuu?
Shukrani mkuuSubiri wenyeji wa DAR watakujibu mkuu
nipe orodha yako inbox nikusaidie mkuu!..Sorry na mimi napindisha kidogo mada..... Samahani kwa Dar ni duka gani wanauza vifaa vya pikipiki aina ya TVS King 125HLX kwa bei nafuu?
Hapana TVS ndio pikipiki bora na ngumu zaidi Tanzania.Jf inaelekea kupoteza radha yake kwa ujinga wa watu wachache waliotoka huko Facebook.
Mkuu mtoa mada: fanya kununua 'piston rings'mpya ikafungwe hiyo chombo alafu ulete mrejesho hapa.
Ishu ni Plug. usiruhusu fundi aguse block, wala Valve itakula kwako. na vifaa ukibadirishiwa vibebe ni deal sana huwa haviharibiki to the extent.Hizi zinakuwa na miss ya ajabu mafundi wengi wamechemsha na ndio sababu ya kutumia mafuta mengi
Asante kwa kutuonesha upumbavu wako.Ulitaka inywe supu au?