Pikipiki aina ya TVS inakunywa mafuta balaa

Mkuu we ni fundi nn

uko vzuri asee

Embu nambie Bajaj Pulser 150 ziko vzuri?
 
Sorry na mimi napindisha kidogo mada..... Samahani kwa Dar ni duka gani wanauza vifaa vya pikipiki aina ya TVS King 125HLX kwa bei nafuu?
Campuni ya Car and General ndiyo wauzaji na wamiliki wa brand ya Tvs.karibu Posta opposite na Nssf tower ama Benjamini tower.
 
Wick ,,kwa nin TVs wengi wanalalamika carburetor inashid? TVs 125 na boxer 125 IPI inakula mafuta kidogo?
 
Wick ,,kwa nin TVs wengi wanalalamika carburetor inashid? TVs 125 na boxer 125 IPI inakula mafuta kidogo?
Inawezekana fundi anayemrekebishia carbulator unajua kubana carbulator napo inahitaji utaalam wake!.. But yeah Carbulator zao huwa zinasumbua ila ikibanwa vizuri unasahau tatizo!..
HLX125 ipo vizuri zaidi ya BM125 sababu niliyoona ni ring piston za BM125 huwa zinawahi choka na unajua Ring zikichoka nini kinafata (siongelei kusmoke)
 
nini hufuata mkuu?
 
Hawa washenz kumbe ndio maana wanajenga kwa kupitia boda boda tu. Yani hizo km 50 mpaka azimalize kashatengeneza 10K
 
Mkuu sory nami nimekumbana na changamoto moja,sina kabisa ujuzi wa aina yeyote ile wa chombo cha moto kiufundi zaidi ya kuendesha vilivyo vizima,juzi nimemvua mtu tvs 125 used ( nilimshirikisha mtu mzoefu akaniambia niichukue mashine ni nzima ila ina changamoto chache zinazoweza kutatuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…