Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
Mkuu we ni fundi nnHapana TVS ndio pikipiki bora na ngumu zaidi Tanzania.
Haitakiwi kuibadiri Piston Ring hizo Ring huwa ni stable sana hata miaka 3 bila zigusa zinakaa!..
TVS haiguswiguswi Piston ring, Mkono, Block wala chochote cha kwenye Engine mpaka ipite mwaka 1 au miaka 2.
Cha kufanya aende kwa fundi amsafishie Carbulator yake na acheki Spark Plug kama chafu asafishe au anunue TVS Genuine Plug nyingine!. Akishasafishiwa aanze ikadiria pikipiki ni kwa umbali gani inakunywa mafuta (HLX150 ni 55Kms - 60Kms, HLX125 ni 65Kms - 70Kms per 1ltr).
Kingine aangalie Oil anayotumia anatakiwa tumia 20W50 mafundi wengi wa mtaa wanatumia 20W40 ambayo ni special kwa gari (laini)!.
JMWAKA ukifanya yote hayo na tatizo bado nitafute PM!.
uko vzuri asee
Embu nambie Bajaj Pulser 150 ziko vzuri?