Pikipiki bila kupita karibu yako ajioni kama anaendesha pikipiki

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hizi pikipiki ni kero sana japo kuwa zimesaidia ajila na usafiri sana.

Unapokuwa barabarani au mtaani pikipiki ikipita lazima inataka ukifikie karibu wakati barabara yote kubwa.

Huwa wanakuwa na nini
 
Ukiwa barabarani unatembea kama unaulazima wa kutumia simu tumia kwa mkono wa kushoto..
Dada zetu pia tunawashauri pochi zao wajitahidi kubeba kwa mkono wa kushoto.
Ukifanya hivyo inawapa ugumu kidogo wa kutaka kukukwapua..
Wengi wanaopita karibu wanakuwaga ni wezi kwa sababu unakuta barabara Haina mashimo,Wala hakuna gari alafu boda anakufata karibu anataka Nini?
 
Naunga mkono hoja.
 
Sahihi ni vibaka
 
Hizi pikipiki ni kero sana japo kuwa zimesaidia ajila na usafiri sana.

Unapokuwa barabarani au mtaani pikipiki ikipita lazima inataka ukifikie karibu wakati barabara yote kubwa.

Huwa wanakuwa na nini
Emdesha pikipiki na ndio utakuja kuniambia tatizo ni nini......inakupa ukichaa fulani, yaani nimewahi pita katikati ya semi trela mbili zina makontena mwenge afu eti hofu na uoga ukaja baadae nikiwa najiuliza "what did I just do?"
 
Back
Top Bottom