devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Mafundi wa Kingilayani umewapelekea tatizo kama upo dar nenda kwa official dealers watakupa fundi mzuri...pia huenda unanunua spea feki watchWakuu hizi pikipiki kwa bongo hazifai ...zinatoa moshi hatar ...nimeweka block mpya napo bado inatoa moshi boxer ...nishaurini niweke block kampuni gan ili isiendelee kutoa moshi??
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kweli aisee ..walio wengi wanakisia ufundi mmoja huku kwetu kashindwa kusafisha tank la boxer lilikuwa na uchafu ...kaenda kufungua injin ...kashindwa kuifunga ....toka jana tupo nae hapa polisi kituonTz mafund weng ni wakubadilisha spear,ukimuuliza chanzo cha tatzo hajui,anachojua ni kutoa na kuweka kipya
Nimeweka ring na piston ya KAMPUNI YA YOG ...na pikipiki. Haina nguvu mlimanje umebadilisha na Ringpiston full?
Kwenye swala la nguvu panaboa sana. Na unakuta pikipik inamuugvurumo mkubwaa pikpiki inatetemeka huku imechemka balaaNimeweka ring na piston ya KAMPUNI YA YOG ...na pikipiki. Haina nguvu mliman
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Je choki ipo mahala pake sahihi,cabuleta je vipi wameichek kuona labda inamchanga au imetanuka ..nishakumbwa na hili tatizo lakukosa nguvu fundi akasema nibadili block nikamjibu nitarud nikaenda kwa fundi mwingine akachek block akasema mbona block zima kabisa ili ,yy akasema tubadili Ring piston mana valve cjui zimefanyaje tukabadili ikawa poa lkn sio sana nikampelekea mwingine yy alichofanya nikufungua cabuleta kuisafisha nakuibana eti ili pkpk isile mafuta ebhana yule dogo kama mchawi chombo ilirudi sehemu yake. lkn kuna siku tena ghafla ikawa hainanguvu hata tambalale kuipeleka kwa fundi alichofanya nikushusha choki kumbe choki mtt alichezea akaipandisha nilijiona mjinga sanaNimeweka ring na piston ya KAMPUNI YA YOG ...na pikipiki. Haina nguvu mliman
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Lakin mkuu boxer hazina choke ya kuinua na mkono maybe TVs.Je choki ipo mahala pake sahihi,cabuleta je vipi wameichek kuona labda inamchanga au imetanuka ..nishakumbwa na hili tatizo lakukosa nguvu fundi akasema nibadili block nikamjibu nitarud nikaenda kwa fundi mwingine akachek block akasema mbona block zima kabisa ili ,yy akasema tubadili Ring piston mana valve cjui zimefanyaje tukabadili ikawa poa lkn sio sana nikampelekea mwingine yy alichofanya nikufungua cabuleta kuisafisha nakuibana eti ili pkpk isile mafuta ebhana yule dogo kama mchawi chombo ilirudi sehemu yake. lkn kuna siku tena ghafla ikawa hainanguvu hata tambalale kuipeleka kwa fundi alichofanya nikushusha choki kumbe choki mtt alichezea akaipandisha nilijiona mjinga sana
Oil inakua haizunguki vizuriKwenye swala la nguvu panaboa sana. Na unakuta pikipik inamuugvurumo mkubwaa pikpiki inatetemeka huku imechemka balaa
Ipo choke mbonaLakin mkuu boxer hazina choke ya kuinua na mkono maybe TVs.
Ipo kama ya sanlg?Ipo choke mbona
Tumia block ya whatsapp mkuu au ya iphone hutaona ata tone la moshiWakuu hizi pikipiki kwa Bongo hazifai ...zinatoa moshi hatari ...nimeweka block mpya napo bado inatoa moshi Boxer ...nishaurini niweke block kampuni gan ili isiendelee kutoa moshi??
mpo naye kituo cha mabasi mkitaka kumsafirisha kwenda chuo India auKweli aisee ..walio wengi wanakisia ufundi mmoja huku kwetu kashindwa kusafisha tank la boxer lilikuwa na uchafu ...kaenda kufungua injin ...kashindwa kuifunga ....toka jana tupo nae hapa polisi kituon
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Nakaziahizo pikipiki ziko vizuri sema mafundi wengi wa kibongo hawajui kutengeneza pikipiki zenye timing chain