Pikipiki Boxer na TVs...hazifai na hazitengenezeki?

Pikipiki Boxer na TVs...hazifai na hazitengenezeki?

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu hizi pikipiki kwa Bongo hazifai ...zinatoa moshi hatari ...nimeweka block mpya napo bado inatoa moshi Boxer ...nishaurini niweke block kampuni gan ili isiendelee kutoa moshi??
 
Wakuu hizi pikipiki kwa bongo hazifai ...zinatoa moshi hatar ...nimeweka block mpya napo bado inatoa moshi boxer ...nishaurini niweke block kampuni gan ili isiendelee kutoa moshi??

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Mafundi wa Kingilayani umewapelekea tatizo kama upo dar nenda kwa official dealers watakupa fundi mzuri...pia huenda unanunua spea feki watch
 
Tz mafund weng ni wakubadilisha spear,ukimuuliza chanzo cha tatzo hajui,anachojua ni kutoa na kuweka kipya
Kweli aisee ..walio wengi wanakisia ufundi mmoja huku kwetu kashindwa kusafisha tank la boxer lilikuwa na uchafu ...kaenda kufungua injin ...kashindwa kuifunga ....toka jana tupo nae hapa polisi kituon

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Nimeweka ring na piston ya KAMPUNI YA YOG ...na pikipiki. Haina nguvu mliman

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Je choki ipo mahala pake sahihi,cabuleta je vipi wameichek kuona labda inamchanga au imetanuka ..nishakumbwa na hili tatizo lakukosa nguvu fundi akasema nibadili block nikamjibu nitarud nikaenda kwa fundi mwingine akachek block akasema mbona block zima kabisa ili ,yy akasema tubadili Ring piston mana valve cjui zimefanyaje tukabadili ikawa poa lkn sio sana nikampelekea mwingine yy alichofanya nikufungua cabuleta kuisafisha nakuibana eti ili pkpk isile mafuta ebhana yule dogo kama mchawi chombo ilirudi sehemu yake. lkn kuna siku tena ghafla ikawa hainanguvu hata tambalale kuipeleka kwa fundi alichofanya nikushusha choki kumbe choki mtt alichezea akaipandisha nilijiona mjinga sana
 
Boxer wanatengeneza engine mzuri sana, ikiwemo zile za kwenye Bajaj za town, Changamoto zake
1- Ikishapita miaka mitatu toka ianze kutumika lazima ifanyiwe overhaul maan vitu vingi vinakua vishachoka
2- Mafundi: yani ukikosea jino/shimo moja kwenye kuset timing chain basi ndo ushaharibu. Mafundi wengi hawawezi funga vizuri chain wamezoea push rod
3- Uwepo wa spare fake, yani unaweza uziwa fake kwa bei ya original

Ushauri
1-Uza hiyo pikipiki, Nunua mpya utaifaidi zaidi
2-Modify kwa kuweka engine za kichina eg kinglion/sanlg
3- Komaa nayo ila ujue haitakuja ikatulia mazima itakua inahitaji service za mara kwa mara hata kubadilisha block, usishangae ukaweka block mpya leo baada ya wiki ukaambiwa uweke nyingn hasa wakikosea timing chain.

Nb mimi so fundi, na bei za vifaa sizijui saana na sijui kampuni gan nzuri

Nla..
 
Je choki ipo mahala pake sahihi,cabuleta je vipi wameichek kuona labda inamchanga au imetanuka ..nishakumbwa na hili tatizo lakukosa nguvu fundi akasema nibadili block nikamjibu nitarud nikaenda kwa fundi mwingine akachek block akasema mbona block zima kabisa ili ,yy akasema tubadili Ring piston mana valve cjui zimefanyaje tukabadili ikawa poa lkn sio sana nikampelekea mwingine yy alichofanya nikufungua cabuleta kuisafisha nakuibana eti ili pkpk isile mafuta ebhana yule dogo kama mchawi chombo ilirudi sehemu yake. lkn kuna siku tena ghafla ikawa hainanguvu hata tambalale kuipeleka kwa fundi alichofanya nikushusha choki kumbe choki mtt alichezea akaipandisha nilijiona mjinga sana
Lakin mkuu boxer hazina choke ya kuinua na mkono maybe TVs.
 
Kwenye swala la nguvu panaboa sana. Na unakuta pikipik inamuugvurumo mkubwaa pikpiki inatetemeka huku imechemka balaa
Oil inakua haizunguki vizuri
Either iko chache au ile filter imechafuka..
 
Wengi wanaotumia boxer hawafati masharti ya izi pikipiki mm ilinitokea ili tatizo nashukuru Yule fundi alikuwa mzuri kwenye kuset timing chane baada ya kununua rings mpyaa kingine oil ni jambo la maana sana kubadili ndani ya wiki au wiki mbili hii pikipiki nilinunua Kwa mtu 2020 Hadi Leo iko bomba kabisaa
 
Lakin mkuu boxer hazina choke ya kuinua na mkono maybe TVs.

20220407_173157.jpg
 
Back
Top Bottom