Pikipiki gani ina pulling machine ya kunifikisha CONGO DRC na kurudi Dar?

Pikipiki gani ina pulling machine ya kunifikisha CONGO DRC na kurudi Dar?

Tafuta pikipiki-ukipata pikipiki-tafuta pulling machine-ukipata pulling machine-tafuta congo-ukipata congo-tafuta dar
 
tabu ni watu kuishi kwa mazoea, ndugu tafuta pikipiki yenye zaidi ya cc250 ambapo mwendo wake ni zaidi ya km100 kwa lisaa. ila hakikisha imefanyiwa matengenezo vizuri
 
Tafuta pikipiki kuanzia cc 500 kwenda juu.Hakikisha unavaa nguo nzito za kukabiliaba na baridi.Jitahidi kutembea mchana tu na ucku upumzike.Unaweza kabisa kwenda na kurudi.Mm nilishawahi kutumia DT 125 Suzuki toka Dar to Singida nilifika saa 6 ucku toka asubuh kwa sababu kuna muda inabidi uipumzishe kwa angalau nusu saa.
 
kumbe wewe ni mnyiramba eeee!!
 
nini pikipiki hata kwa baiskeli utafika tu !mbona raia wao wakidundana wanakuja tz kwa miguu,mbuzi ,punda ng'ombe wengine hata kwa ungo!
 
ukipata pikpik ya Africatwins 750cc itakufaa. honda baja taa 2 ni nzur mana haitumii betri, makorokoro kidogo lakin cc ina kidogo 250. pikpik ya safari kama hiyo sio tu iwe na cc kubwa bali pia iwe juu. nimeongelea nilizowai tumia sana kwa safar crossborder. bmw wako vizuri lkn jpange vizur kuipata hasa inayotumia shaft badala ya chain.
 
Back
Top Bottom