Pikipiki gani ina pulling machine ya kunifikisha CONGO DRC na kurudi Dar?

We jamaa una ushauri mzuri utadhani mwalimu wa Geography
 
kwan ukitokea Ubungo Kongo na Morocco wapi mbali? nina jamaa yangu yeye ana Toyo kila siku anaenda nayo morocco na kurudi jioni wala haimsumbui. sema Kongo nlisikia kama pikipik haziruhusiwi au wameanza tena kuruhusu? mkuu nunua hata sanlg hii kuna dereva wangu yeye huwa anasema ana park Mombasa so sijui pia umbali wa mombasa na Kongo ila inaweza ikawa si mbali sana.
 
Wakuu,

Natarajia kwenda Congo kwa usafiri wa pikipiki na baadae kurudi tena Dar, je ni pikipiki gani ina uwezo wa kutembea spidi na kuhimili changamoto zote za njiani mpaka Congo?

Wataalam wa pikipiki nijuzeni hapa
Chukua ile mipikipiki inayosindikiza msafara wa raisi
 
kwan ukitokea Ubungo Kongo na Morocco wapi mbali? nina jamaa yangu yeye ana Toyo kila siku anaenda nayo morocco na kurudi jioni wala haimsumbui. sema Kongo nlisikia kama pikipik haziruhusiwi au wameanza tena kuruhusu? mkuu nunua hata sanlg hii kuna dereva wangu yeye huwa anasema ana park Mombasa so sijui pia umbali wa mombasa na Kongo ila inaweza ikawa si mbali sana.
 
Ulinyatq sana mzee mwenzangu...
 
Pamoja na majibu ya kejeli, ya kusanifu lakini bado kuna majibu mazuri kutoka kwa wanaojali, enewei, ndiyo JF!!
Penye wengi, pana mengi. Ni vitu vya kawaida tu, haishangazi kwa mwenye akili timamu.
 
Wakuu,
Natarajia kwenda Congo kwa usafiri wa pikipiki na baadae kurudi tena Dar, je ni pikipiki gani ina uwezo wa kutembea spidi na kuhimili changamoto zote za njiani mpaka Congo?

Wataalam wa pikipiki nijuzeni hapa
Pasco ndio nadhani anaweza kufafanua zaidi aina gani ya pikipiki ni nzuri kwa masafa marefu.
Ziko pikipiki za aina nyingi kutokana na matumizi, ziko za usafiri wa hapa na pale kwa matumizi ya kukata mitaa 50cc-250cc.
Ziko pikipiki za riding kwa dirty bikes, nyingi ni off road ziko 250cc-750cc, ziko sports bikes 250cc-1000cc, ziko bikes za leisure tuu lakini kwa safari za masafa marefu, bikes za kusafiria ni touring, zinaazia 400cc hadi 1,800cc!.

Wewe tuu.
Honda Deauville

Honda ST1100


The old Honda Pan European is often loved more than the new ST1300, for various reasons. An overview can be seen here:

BMW R1100RT/R1150RT/R1200RT

R1100RT


R1150RT


R1200RT
Honda ST 1300

Yamaha FJR 1300

Kawasaki GTR 1400


BMW K1300GT/K1600GT/K1600GTL

K1300GT

K1600GT

K1600GTL



The Honda-built VFR Interceptor has long been regarded as one of the best sport-tour models, altho it's more sport than touring. It likely wouldn't be as comfortable ridden 2-up as the others.

The FJR series from Yamaha is also highly regarded. The latest model (FJR1300) is an amazing bike to ride.

The BMW R1200RT is more touring than sporty, but will still crack a grin on anyone who likes to drag knee in corners. Plus it has BMW reliability and comfort.

Moto Guzzi's Norge GT 8V is also an amazingly-capable touring bike that can kick it up a notch in corners.



Speed, beauty, and handling at all speeds. My criteria.

 
Huo muda ulikuwa unaisukuma au unaendesha?ungeendesha ungefika mapema sana. Mwenzio anamaanisha kwa kuendesha na siyo kuisukuma. Endesha kaka kanyaga mafuta kma hujui waambie watu wa kufundishe.

Dar singida cku nzima..,hukuwa unaijua DT125.,hii pikpik ni 2T..,huhitaji kupumzika.,cku nyingine funga kimzigo nyuma kama kg 50.,utaipenda na utakuwa kama unateleza barabarani..,Mm Kilombero,Chalinze,Segera,Lushoto nimetumia masaa 4.45
 
Tafuta Honda CRF 450 iko juu halafu ina rejeta unaweza kwenda umbali mrefu bila kupumzika, zipo pia KTM za cc kuanzia 450 hadi 1200 za kimarekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…