The Black Hermit
Member
- Jul 8, 2017
- 86
- 73
Mkuu ni Boxer engine gani hiyo 68km/l?Mimi binafsi Nina boxer yangu...huu ni mwaka wa tatu Sasa..sio mbaya kwa kweli..ukiitunza utasahau kabisa shida za usafiri...68km/L😂😂 alafu mtu aniambie habari ya aiestii😌
Hii itakuwa 100ccMkuu ni Boxer engine gani hiyo 68km/l?
Bm125 HDMkuu ni Boxer engine gani hiyo 68km/l?
Usivae yebo!Mchawi tvs 125 tena saa hii zina gia 5 ni unateleza uko pale
Mkuu, nafanya kazi mjini ila nataka kuishi kijijini niwe nakuja na usafiri. Unadhani nichukue ipi kwa mantiki hii?Kama uko mjini tvs au boxer kama ni kijijini chukua haojue,gatoma,kinglion
Fafanua Mkuu uninusuru ndugu yako na majanga 😃Usivae yebo!
Una sababu yoyote mkuu kwa ushauri huu? Muhimu sana kama utaniwekea hapa.haojue au king lion
Una sababu yoyote mkuu kwa ushauri huu? Muhimu sana kama utaniwekea hapa.
Pikipiki zimekaa kiboda boda hapana aiseh labda mtoa mada atapenda japo mimi pia nahitajiMchawi tvs 125 tena saa hii zina gia 5 ni unateleza uko pale
Mkuu we unapenda zipi maana hizi za cc 150 below nyingi ni zimekaa kibodaboda. Labda high class kuanzia cc 250 huko ndizo za kifalme. Mimi sitaki hizo maana sitaki kuwa mtumwa wa vituo vya mafuta. Nataka nikiweka full tank nikae angalau wiki au zaidi. Kama una idea na pikipiki za Aina hii karibu sana.Pikipiki zimekaa kiboda boda hapana aiseh labda mtoa mada atapenda japo mimi pia nahitaji