Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Unanunua ukilema
Mkuu una maana gani?Unanunua ukilema
BMW R1250 GSA. HutojutaMkuu, nafanya kazi mjini ila nataka kuishi kijijini niwe nakuja na usafiri. Unadhani nichukue ipi kwa mantiki hii?
Nunua pikipiki utakuja kuona nama1nisha nini ukiwa na magongo kitandaniMkuu una maana gani?