devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Wakuu misaada wa mawazo...nina boxer 150 .. asubuhi inachelewa kuwaka na pia nikipaka masaa kuanzia mawili haiwaki haraka shida ni nini wakuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KikiUnawashia Kiki au start button?
Mimi pia nilifanya hivi, mbona nilishangaa, pyuu!Imwagie petrol kisha itie kiberiti itawaka
Unaishi mikoa ya baridi? Ishu hapo ni kwenye plug tu, sio mbovu hiyoWakuu misaada wa mawazo...nina boxer 150 .. asubuhi inachelewa kuwaka na pia nikipaka masaa kuanzia mawili haiwaki haraka shida ni nini wakuu??
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Na pikipiki inazo spark plugs kama za kwenye gari?Badili spark plug, ukiona bado safisha carburetor na ukiweza badili na clutch plates kama unatumia kick.
Na pikipiki inazo spark plugs kama za kwenye gari?
View attachment 2184636
Fungua plug ipige msasa kidogo pale kwenye mripuko wake halafu rudishia itakuwa sawa ila ni bora kununua plug mpya kabisaNa pikipiki inazo spark plugs kama za kwenye gari?
View attachment 2184636
Ndio nipo njombeUnaishi mikoa ya baridi? Ishu hapo ni kwenye plug tu, sio mbovu hiyo