Pikipiki inachelewa kuwaka asubuhi

Pikipiki inachelewa kuwaka asubuhi

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu misaada wa mawazo...nina boxer 150 .. asubuhi inachelewa kuwaka na pia nikipaka masaa kuanzia mawili haiwaki haraka shida ni nini wakuu??
 
1.kama ina muda mrefu ni jiko linakaribia kufa, so uwe unapandisha chock wakati wa kuwasha mwanzoni kabisa ili ipate moto.
2.pia, kama sio mzoefu wa pikipiki uitunze kubalance moto vizur mkono wako wa kulia na uiwashe wakati haipo kwa gia
 
Badili spark plug, ukiona bado safisha carburetor na ukiweza badili na clutch plates kama unatumia kick.
 
Badili spark plug, ukiona bado safisha carburetor na ukiweza badili na clutch plates kama unatumia kick.
Na pikipiki inazo spark plugs kama za kwenye gari?
Screenshot_20220412-065702.png
 
Kuna mambo mengi yanaweza kuchangia pikipiki kutowaka haswa pale inapokuwa imeshapoa..
1, kuna pug, kabuleta kuwa chafu, magnet kuwa imesha nguvu, kuna groli pia lakini zaidi hata mfumo wa wiring..kwa nsaada zaidi mtafute fundi aliyekaribu na wewe aangalie tatizo zaidi
 
Peleka service bhana! Yaana magari yatusumbue! Bado na pikipiki nazo zitusumbue! Au iuze kwa mkulima yeyote yule, halafu ununue mpya.
 
Kuna uwashaji wa kwenye injini ya baridi alioeleza post no 7.1
 
Back
Top Bottom