acha kuitetea kisa unaiuza,ina maana ukae masaa mawili ya kuchaji kila baada ya km 150 huoni kuwa inakost rasilimali muda?Ukiilinganisha na mateso ya mafuta + oil + service za mara kwa mara, pikipiki hii ya umeme inaonyesha wazi kabisa kwamba teknolojia mpya imekuja kukukomboa kiuchumi.
Unit 4 tu za umeme — sawa na takribani Tsh 1,480/= — zinatosha kuijaza battery kikamilifu ndani ya masaa mawili tu. Hiyo ina maana kwa gharama ndogo sana unapata uwezo wa kutembea umbali mrefu bila kuwaza tena kuhusu bei ya mafuta kupanda kila siku.
Na kama hutaki hata kusubiri kuchaji, tuna swapping stations Dar es Salaam — vituo maalum vya kubadilisha battery. Unafika tu, unabadili battery ndani ya dakika chache kwa Tsh 3,000/= tu, unaendelea na safari yako bila kuchelewa.
Karibu sana mdau.
safari ya Dar Dodoma ni km 500plus na mleta mada amesema ukiichaji unatumia km130 uchaji tena kwa 2hrs mpaka kujaa, so njiani yakupasa uchaji mara 3 ambapo ni kama masaa6 ya kuchaji, unaangalia unit za umeme huangalii muda au hukufundishwa kuwa muda ni mali?Sio kubwa.
Mfano umbali wa kutoka DSM - Dodoma ni yapata Km 520.
(520km ÷ 130km = 4)
(4 * unit 4 = 16 Unit).
Baada ya makato yote ya serikali.
Unit moja ni 357 Tsh
357 Tsh * 16 Unit = 5,712 Tsh.
kwa bei ya sasa ya petrol hizo ni lita 2. Je? Zitaweza kwenda umbali huo?.
Mmh kwa hesabu hizo si kila mtu atayamiliki Sasa,na vipi Hilo tank na hiyo injin vimewekwa vya Nini?vp kwenye mlima inamikimbio mizuri(speed yake kwenye mlima)Sio kubwa.
Mfano umbali wa kutoka DSM - Dodoma ni yapata Km 520.
(520km ÷ 130km = 4)
(4 * unit 4 = 16 Unit).
Baada ya makato yote ya serikali.
Unit moja ni 357 Tsh
357 Tsh * 16 Unit = 5,712 Tsh.
kwa bei ya sasa ya petrol hizo ni lita 2. Je? Zitaweza kwenda umbali huo?.
Tuko kwenye hatua za mwisho tunaingia mikataba na wamiliki wa vituo vya mafuta ili kufunga battery swapping Stations.acha kuitetea kisa unaiuza,ina maana ukae masaa mawili ya kuchaji kila baada ya km 150 huoni kuwa inakost rasilimali muda?
Tank utalitumia kama Toolbox [emoji3463], haina injini Ina mota tu.Mmh kwa hesabu hizo si kila mtu atayamiliki Sasa,na vipi Hilo tank na hiyo injin vimewekwa vya Nini?vp kwenye mlima inamikimbio mizuri(speed yake kwenye mlima)
Na amenyambulika haswa mtoto wa watu ,wateja tujitokeze tu😁😁😁
Mkuu, kwamba anyambulike.
Ndiyo mkuu Karibu sana.4.5m duuh
Spear zinapatikana mkuuSpea zinapatikana lakini
Hili ni muhimu sana
Sio naanguka bumper linavunjika naanza kuunga kwa spoku
sio spear ni spare au kwa kiswahili kipuri wingi vipuri.Spear zinapatikana mkuu
Asante sana mkuu, Karibu ujipatie chombo yako....!sio spear ni spare au kwa kiswahili kipuri wingi vipuri.
Mienzi 10 yote hiyo ni Mungu tu akulinde usipate mzinga.Ni kweli Mkuu. Tena Hii pikipiki ya umeme
Inafaa sana kwa Bolt hapa mjini.
alaf bei ya kununulia . Ukigawa mara 10,000 Tsh ni sawa na siku 450.
Kwahiyo ukikomaa na kutenga 20k daily. Basi Ni siku 225.
Let say wekea uendeshe kwa siku 300.
Ndan ya miez 10. Unarudisha bei ya kununua Pikipiki nyingne.
Ni biashara hii.
nimekuuliza maswali hapo juu haujajibu hata moja.Asante sana mkuu, Karibu ujipatie chombo yako....!
Wewe Mnyakyusa kavu sana aisee kavu kweli ujue nimecheka kifala sana hapa..Unapatikana wapi mkuu ?
Je utaratibu wa mikopo kwa hivyo vyuma ukoje ?
Je nini kinatakiwa ili mtu apate huo mkopo almaarufu vitu vya kuzingatia?
Nyambukila mtoto wa kiume ,matajiri wako hapa
Ondoa shaka mkuu, battery ikifa unawezaTatizo kuu ni betri kufa
[emoji1]Wewe Mnyakyusa kavu sana aisee kavu kweli ujue nimecheka kifala sana hapa..