Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Asante Mkuu hilo ndio la muhimu zaidi maana wengi wanaagiza bila speaSpear zinapatikana mkuu
Asante Mkuu hilo ndio la muhimu zaidi maana wengi wanaagiza bila speaSpear zinapatikana mkuu
[emoji120]Asante Mkuu hilo ndio la muhimu zaidi maana wengi wanaagiza bila spea
whatsapp.com
Hii ambayo haina muungurumo na Barabara za Dar si tutagongwa sanaWanabodi,
Nauza pikipiki ya umeme aina ya OASIS, suluhisho bora kwa bodaboda,Watu wa delivery, na mtu yeyote anayechoka gharama kubwa za mafuta.
Sifa za Pikipiki:
[emoji367] Inatumia unit 4 tu za umeme kujaza battery
[emoji2926] Ukijaza full unaweza kutembea hadi Kilomita 130
[emoji298] Maximum speed: 85 KPH
[emoji347] Haina kelele, ni rafiki kwa mazingira
[emoji383] Inaokoa sana gharama za mafuta na matengenezo
Bei: Tsh 4,500,000/=
Unaweza pia kuchukua kwa mkopo:
Kianzio ni Tsh 500,000/= tu
Unalipa kidogo kidogo kwa makubaliano
Hii ni fursa nzuri sana kwa wanaotaka kupunguza gharama za mafuta na kuongeza faida kwenye kazi za usafiri.
Kwa maelezo zaidi au kuagiza, wasiliana nami inbox au simu.
0671512733View attachment 3553516View attachment 3553517
This is beautiful, Sisi wa huku porini Njia za rough na mzigo ya hapa na pale viroba vya Karanga zinatufaa?Ukiilinganisha na mateso ya mafuta + oil + service za mara kwa mara, pikipiki hii ya umeme inaonyesha wazi kabisa kwamba teknolojia mpya imekuja kukukomboa kiuchumi.
Unit 4 tu za umeme — sawa na takribani Tsh 1,480/= — zinatosha kuijaza battery kikamilifu ndani ya masaa mawili tu. Hiyo ina maana kwa gharama ndogo sana unapata uwezo wa kutembea umbali mrefu bila kuwaza tena kuhusu bei ya mafuta kupanda kila siku.
Na kama hutaki hata kusubiri kuchaji, tuna swapping stations Dar es Salaam — vituo maalum vya kubadilisha battery. Unafika tu, unabadili battery ndani ya dakika chache kwa Tsh 3,000/= tu, unaendelea na safari yako bila kuchelewa.
Karibu sana mdau.