Pikipiki ya Umeme OASIS – Tembea Km 130 kwa Unit 4 Tu za Umeme!

Bei ya hiyo bike imechangamka , fanyen ata 2.5M
 
acha kuitetea kisa unaiuza,ina maana ukae masaa mawili ya kuchaji kila baada ya km 150 huoni kuwa inakost rasilimali muda?
 
safari ya Dar Dodoma ni km 500plus na mleta mada amesema ukiichaji unatumia km130 uchaji tena kwa 2hrs mpaka kujaa, so njiani yakupasa uchaji mara 3 ambapo ni kama masaa6 ya kuchaji, unaangalia unit za umeme huangalii muda au hukufundishwa kuwa muda ni mali?
 
Mmh kwa hesabu hizo si kila mtu atayamiliki Sasa,na vipi Hilo tank na hiyo injin vimewekwa vya Nini?vp kwenye mlima inamikimbio mizuri(speed yake kwenye mlima)
 
Mmh kwa hesabu hizo si kila mtu atayamiliki Sasa,na vipi Hilo tank na hiyo injin vimewekwa vya Nini?vp kwenye mlima inamikimbio mizuri(speed yake kwenye mlima)
Tank utalitumia kama Toolbox [emoji3463], haina injini Ina mota tu.
 
Mienzi 10 yote hiyo ni Mungu tu akulinde usipate mzinga.
 
Tatizo kuu ni betri kufa
Ondoa shaka mkuu, battery ikifa unaweza
Kubadilisha kwenye swapping Stations zetu ambazo kwasasa ziko Mikocheni na tutazijenga nchi nzima.
Karibu sana mdau, ujipatie pikipiki ya umeme ya bei nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…