Pikipiki ya Umeme OASIS – Tembea Km 130 kwa Unit 4 Tu za Umeme!

Jiunge kwenye channel yetu ya Whatsapp kukata data na taarifa ya pikipiki zetu.
 
Hii ambayo haina muungurumo na Barabara za Dar si tutagongwa sana
 
This is beautiful, Sisi wa huku porini Njia za rough na mzigo ya hapa na pale viroba vya Karanga zinatufaa?
 
Mbona naona kama kuna tank la mafuta hapo...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…