Unaipeleka upewe maoni au unaipeleka waitengeneze?hivi,nimejaribu kwenda kwa mafundi ila wamekuwa wanatoa maoni tofauti tofauti.
baba auraIwashe na gas, akili huna
Boss acha kupiga kick unashtua viumbe hai waliopo kwenye kende vile una_vibrate kupiga kicks nyingi chuma haiwaki,Habar wakuu,Nina pikipiki aina ya boxer bm 150 inatatizo moja La kuchelewa hasa ikiwa nimeipaki kwa nusu saa hivi,nimejaribu kwenda kwa mafundi ila wamekuwa wanatoa maoni tofauti tofauti.
Nawasha kwa kutumia kick ila kuna mda nafikiria ninunulie motor starter itakuwa suluhisho LA tatizo au laa!? Wakuu naoni yenu muhimu sana
Sawa mkuuBoss acha kupiga kick unashtua viumbe hai waliopo kwenye kende vile una_vibrate kupiga kicks nyingi chuma haiwaki,
Kick start haifai viatu vinaisha, vuta choki piga kick moja isipowaka peleka kaweke motor uwe unatenkenya tu,
nilishakuwa na chopa mpaka nikawa bingwa wa kupiga kicks, halafu kuna addiction hata siku ukishika chuma mpya unapiga kick, muda mwingine fanya kuishtua.
Thanks mkuu but motor za boxer bei gani?Boss acha kupiga kick unashtua viumbe hai waliopo kwenye kende vile una_vibrate kupiga kicks nyingi chuma haiwaki,
Kick start haifai viatu vinaisha, vuta choki piga kick moja isipowaka peleka kaweke motor uwe unatenkenya tu,
nilishakuwa na chopa mpaka nikawa bingwa wa kupiga kicks, halafu kuna addiction hata siku ukishika chuma mpya unapiga kick, muda mwingine fanya kuishtua.
huku porini niliko hawatumii Boxer, najua bei ya motor ya SANLG tu ni 18,000 hadi 20,000 ila kwa Boxer ni zaidi ya hapo hata mara mbili yake.Thanks mkuu but motor za boxer bei gani?
Shida haipo kwenye motor starter, labda kama unataka kutumia starter kuwasha, hilo tatizo ni either wiring system, carburettor(fuel floating), valve, ignition coil...nk.
Kama kuna shida kwenye mfumo wa kufua umeme, au carburettor au mfumo wa waya, hata ukiweka starter mpya tena original bado tatizo halitaisha.Kwa hiyo mkuu hats nikiweka motor mpya tatizo litakuwepo palepale?
tena kama imeshindwa kuwaka kwa kick usitegemee starter itawasha....itacrank hadi betri liisheKwa hiyo mkuu hats nikiweka motor mpya tatizo litakuwepo palepale?