Pikipiki za masafa marefu (Cross countries)

BMW zipo hapa Kinondoni kwa Mpemba karibu na Makaburi ya kinondoni, kuna ki-super market mjinga kimejaa Wapemba ndio wanaziuza but ni used
Mkuu, hawa jamaa bado wapo? Nakusanya hela nije nichukue BMW1200/1200 gs au Honda Africa Twin. Napenda adventure/touring sana, ya ndani na nje ya nchi!

Haya maisha tunatakiwa kufanya kazi then muda wa likizo unafanya vitu upendavyo!
 
Kwa sasa kusafirisha bmw kutoka south africa ni kiasi gani?
 
Mkuu, hawa jamaa bado wapo? Nakusanya hela nije nichukue BMW1200/1200 gs au Honda Africa Twin. Napenda adventure/touring sana, ya ndani na nje ya nchi!

Haya maisha tunatakiwa kufanya kazi then muda wa likizo unafanya vitu upendavyo!
Kwa kweli ni miaka mingi sasa, Sina uhakika. Nilikimbia Dar Niko huku Tunduma siku hizi m
 
Pita na instagram kuna jamaa yupo Zanzibar anatumia jina la sele _mapikipiki anazo za kutosha
Bmw
Honda
Yamaha
Harley Davidson
Ktm
Ducati nk
Mkuu huyo jamaa Ni genuine kweli?Bei zake Mbona Ni mdogo sana mpk zinatisha mkuu?
 
Nakumbuka hata Pale UDSM ulikuwa unakuja nayo moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…