Pikipiki zenye picha ya Rais Samia ni upotevu wa fedha za maskini na alama ya matumizi mabaya uchaguzi ujao

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Fedha nyingi zimetumika kununua pikipiki zaidi ya 18,000 zitakazosambazwa nchi nzima!

Mtu unajiuliza hizo fedha takriban 54 billion si zingetumika kuwasaidia watu maskini katika mambo mangapi?

Watanzania tuamke nchi sio ya viongozi ni yetu na yanapofanyika matumizi mabovu kama haya wanaoumia ni sisi wananchi.

Mmewahi kujiuliza kwanini zinatumika gharama kubwa kiasi hiki huku serkali ikijinadi kuwa inafanya vizuri kuwatumikia wananchi? Woga huu unatoka wapi? Fedha hizi zinatoka wapi?
 
Huyu mama huyu sijui ni nini!! Yaani hana hata aibu kabisa
Kwanza saiz yuko zake sauzi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akitoka hapo sjui anaunganisha hadi wapi..[emoji23]
 
Fedha nyingi zimetumika kununua pikipiki zaidi ya 18,000 zitakazosambazwa nchi nzima!

Mtu unajiuliza hizo fedha takriban 54 billion si zingetumika kuwasaidia watu maskini katika mambo mangapi?

Watanzania tuamke nchi sio ya viongozi ni yetu na yanapofanyika matumizi mabovu kama haya wanaoumia ni sisi wananchi.

Mmewahi kujiuliza kwanini zinatumika gharama kubwa kiasi hiki huku serkali ikijinadi kuwa inafanya vizuri kuwatumikia wananchi? Woga huu unatoka wapi? Fedha hizi zinatoka wapi?
IMG_2081.jpeg
IMG_2082.jpeg
IMG_2084.jpeg
IMG_2083.jpeg
 
Fedha nyingi zimetumika kununua pikipiki zaidi ya 18,000 zitakazosambazwa nchi nzima!

Mtu unajiuliza hizo fedha takriban 54 billion si zingetumika kuwasaidia watu maskini katika mambo mangapi?

Watanzania tuamke nchi sio ya viongozi ni yetu na yanapofanyika matumizi mabovu kama haya wanaoumia ni sisi wananchi.

Mmewahi kujiuliza kwanini zinatumika gharama kubwa kiasi hiki huku serkali ikijinadi kuwa inafanya vizuri kuwatumikia wananchi? Woga huu unatoka wapi? Fedha hizi zinatoka wapi?
Fedha za "Join the chain" zipo wapi?

CCM ina fedha zake na Serikali ina fedha zake.

CHADEMA ina TShs 2.7 billion na Mabilionea lukuki. Shida yenu mnajenga mahekalu na kunua majumba bora Canada.

Wacheni uchochezi.
 
CHADEMA. kha😂😲👇🏿jionee mwenyewe
1719133800399-jpeg.3023786

Eti na wao wameweka picha ya Mbowe kwenye hedikopta.

Haki kwa wote.😂😂
 
Back
Top Bottom