Yale majambazi yakishaiba mali za umma yanamfanyia maigizo aone anakubalikaUjuha na ulimbukeni ukichanganywa na madaraka athari yake huwa ni mbaya sana.
Ndiyo tujifunze kuheshimu nafasi ya MakamuHuyu mama huyu sijui ni nini!! Yaani hana hata aibu kabisa
Kwanza saiz yuko zake sauzi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akitoka hapo sjui anaunganisha hadi wapi..[emoji23]Huyu mama huyu sijui ni nini!! Yaani hana hata aibu kabisa
Siamini mwamba jpm alilazimishwa kumuweka mwanzon, fikiria tungekua na makamu dkt mwinyi, ina mana saivi angekua rais, tungekua tuko mbali sana..Ndiyo tujifunze kuheshimu nafasi ya Makamu
Fedha nyingi zimetumika kununua pikipiki zaidi ya 18,000 zitakazosambazwa nchi nzima!
Mtu unajiuliza hizo fedha takriban 54 billion si zingetumika kuwasaidia watu maskini katika mambo mangapi?
Watanzania tuamke nchi sio ya viongozi ni yetu na yanapofanyika matumizi mabovu kama haya wanaoumia ni sisi wananchi.
Mmewahi kujiuliza kwanini zinatumika gharama kubwa kiasi hiki huku serkali ikijinadi kuwa inafanya vizuri kuwatumikia wananchi? Woga huu unatoka wapi? Fedha hizi zinatoka wapi?
Usistaajabu huyo unaehisi anafanyiwa maigizo akawa ndio jambazi mkuu.Yale majambazi yakishaiba mali za umma yanamfanyia maigizo aone anakubalika
Hata angekuwa MpinaSiamini mwamba jpm alilazimishwa kumuweka mwanzon, fikiria tungekua na makamu dkt mwinyi, ina mana saivi angekua rais, tungekua tuko mbali sana..
Hajui hata kinachoendeleaUsistaajabu huyo unaehisi anafanyiwa maigizo akawa ndio jambazi mkuu.
Fedha za "Join the chain" zipo wapi?Fedha nyingi zimetumika kununua pikipiki zaidi ya 18,000 zitakazosambazwa nchi nzima!