Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Aaah unyamaPilau 😍 hapo sasa ingekua kuku😋 siondoki hata nikimwagiwa upupu hadi liishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah unyamaPilau 😍 hapo sasa ingekua kuku😋 siondoki hata nikimwagiwa upupu hadi liishe
Kumbe umeona ss ulikuwa na ujinga kama wangu afu kwa hela za kupewa na mamaIyo tabia ya kununua soky mpya kila zikichafuka nilikuwa nayo mimi shule ya msingi mama akajua iyo akaanza nipunguzia hela ya kula shule ananipa nauli na jero tu ya kula jumla 700 wakati alikuwa ananipa 3000 ananaimbia mwanangu sina hela akanikuta siku nafua soks akasema kumbe kufua unajua ila basi tu kuchezea hela now nakupa 200 tu 🙄 nilichukia sana
Sijui wewe unaonaje
Ila kaninyoosha nampenda sana mama angu kanilea good sana now sipat shidaKumbe umeona ss ulikuwa na ujinga kama wangu afu kwa hela za kupewa na mama
Thubutuuu 😹😹Ungenipigia picha nione basi 😂😂 at video call ulishindwa piga
YESU wangu mpaka nimepaliwa ase ungefungua thread ili uwaone wabaya wako 😂😂 nitumie ata pm izo catlessThubutuuu 😹😹
Nilivyo mchokozi mbona pishi langu litageuzwa meme kunichefua humu..!!
Uzisambaze 😹😹YESU wangu mpaka nimepaliwa ase ungefungua thread ili uwaone wabaya wako 😂😂 nitumie ata pm izo catless
Muite kabisa mods waweke kumbukumbu 😂😂Siku mwachiluwi akioa mods punguzeni likes zangu laki mooojaaaaa tumpe kama zawadiiiiiiiiiiii
Raisi akinipa hii kazi nitafanya kwa uadilifu😂😂
JaribuDah Ningekua naweza kupika pilau nitapika kila siku.
😂😂😂 najua ziliishia kwenye mafuta zote ukashika kiuona ukasema nini iki mwachi sikuile alifanyaje ukarudi kwenye uzi ukaziangalia zangu ukatamaza zako ukacheka sana ukaachana nazoUzisambaze 😹😹
Nitaleta nikipika tena, yani jana nimecheka sana.!!
Mimi pia nimeona hili,mpaka zimepotea jamani 🙈Mbona tunyama umetukata twakichoyo Ivo tumekua kama korosho kwenye pilau
haya Thecoder ingia kazini, maana naona ngumi kubwa😆😂
Kwender 😹😹😂😂😂 najua ziliishia kwenye mafuta zote ukashika kiuona ukasema nini iki mwachi sikuile alifanyaje ukarudi kwenye uzi ukaziangalia zangu ukatamaza zako ukacheka sana ukaachana nazo
Sina meno nyama kubwa zinanishinda tafunaMimi pia nimeona hili,mpaka zimepotea jamani 🙈
Shida kamdomo kako 😂😂 ungeweka hapa bila shida au ndio na wee chapat unapika kama za diva ramazi ya africaKwender 😹😹
Hapo unataka nizitume dada ako niaibike SITAKI 🤣
We niache bana 😹Shida kamdomo kako 😂😂 ungeweka hapa bila shida au ndio na wee chapat unapika kama za diva ramazi ya africa
Mkuu hongera 👏 kipindi Fulani nilipika aise nilishida chooni siyopowLamomy aliniomba nipike pilau ila mambo yakaingilia leo nikapata nafasi kwanza nialianza kuanda viungo pamoja na kitunguu swahumu, hoho,karoti na kitunguu maji
View attachment 3223752
Wakati uho nilikuwa nimekata nyama ndogo ndogo ikiwa inachemka ilikuwa nusu na robo uswahili wanaita robo tatu
View attachment 3223754
Nikawa nasubir nyama iive nakanza kukata kachumbali amboy ili uhusisha Nyanya moja ,karoti, tango moja na kitunguu maji kimoja
View attachment 3223755
Baada ya kumaliza hapo nikaona nyama ipo tayari nikaanza kupika sasa ila kachumbari sikuweka chumvi lwasababu sije vujia maji ikawa na mchunzi sipendi mchuzi wa kachumbari .
Nikaweka sufuria jikoni nikiwa nimeweka mafuta
View attachment 3223757
Baada ya kuona mafuta yamepata moto vizuri nikaweka nyama nilio chemsha kuna wengine wanapika nyama hawachemshi ila nashuri nyama ichemke sana jikoni
View attachment 3223758
Baada ya kuona mafuta yamechemka vizuri nikatia nyama kama unavyoona hapo juu
Baadae nikawa naikaanga ili nyama iwe na rangi ya kahawia uku nikiwa nimetia kitunguu swahumu
View attachment 3223760Nilipoona rangi ya nyama ishakolea kuwa kahawia na kitunguu swahumu kimeiva nikatia kitunguu maji
View attachment 3223762Nikakikaanga na bada ya hapo nikaweka kiungo cha pilau pilau masala
View attachment 3223764
Nikachukua karoti baada ya mchanganyiko wangu kuwa vizuri nikazikaanga
View attachment 3223770
Baada ya hapo nikachukua nyanya nilio saga wakat nasaga nyanya niliweka mafuta kidogo ili iwe ya njano
View attachment 3223780
Nikaisubir iive kidogo nikaweka mchele nilio letewa na shaanganzi tutunfye wa mwakaleli mbeya
View attachment 3223781Baada ya hapo nikakadilia maji nikauacha jikoni niakrudi jf kuchata
View attachment 3223783
Nilifunika nikapunguza moto ukawa mdogo kabisa
View attachment 3223785
Nilipo kuja kuangalia baada ya nusu saa nikaweka hoho sasa
View attachment 3223786
View attachment 3223787
Nilipo kuja kuaangalia baada ya dakika 15 chakula kikawa kimeiva vzr kabisa nikaipua na kuweka kwenye poti
View attachment 3223788
Na nikaanda matunda yangu pia
View attachment 3223790
Na sasa nakula karibuni
View attachment 3223793