Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Hongera mzee kwa kupika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri hapa mwaka usipinduke uhuWe niache bana 😹
Nikipika vizuri ntaweka step by step..!!
Ulizidisha viungoMkuu hongera 👏 kipindi Fulani nilipika aise nilishida chooni siyopow
Ulafi uho sasa 😂
Oh,pole!!Sina meno nyama kubwa zinanishinda tafuna
Sawa usijrOh,pole!!
Ila umeweza,next upunguze supu ya kupikia kidooogo,😋
Team yangu ya intelijensia umethibitisha kwamba huyo ni KE lakini tunaendelea kufanya uchunguzi tujue asili yake ni wapi na status yake iko vipi 😂😂😂😂
your phone camera ime ruhusu permission kwenye app fulani😆🤣Umefahamu vipi mrembo wangu anapika sana?
Huwa namlamba hadi mikono nikimaliza kula.
Mbona hiki kifaa kina screenshot za watuhumiwa tu,cha kukusanyia ushahidi na hakina picha za bibi yako.your phone camera ime ruhusu permission kwenye app fulani😆🤣
wewe angalia uta ona 😆😂Mbona hiki kifaa kina screenshot za watuhumiwa tu,cha kukusanyia ushahidi na hakina picha za bibi yako.
Usha wahi sikia uzuri uko kwa muonaji, basi na chakula kizuri kiko kwa mlaji.Najua ndio ila sina hakika kama ni mpishi mzuri.
Kuwaza ujinga tuNikajua ni pilau😁😁
Mariam umepika vizuri sana.Lamomy aliniomba nipike pilau ila mambo yakaingilia leo nikapata nafasi kwanza nialianza kuanda viungo pamoja na kitunguu swahumu, hoho,karoti na kitunguu maji
View attachment 3223752
Wakati uho nilikuwa nimekata nyama ndogo ndogo ikiwa inachemka ilikuwa nusu na robo uswahili wanaita robo tatu
View attachment 3223754
Nikawa nasubir nyama iive nakanza kukata kachumbali amboy ili uhusisha Nyanya moja ,karoti, tango moja na kitunguu maji kimoja
View attachment 3223755
Baada ya kumaliza hapo nikaona nyama ipo tayari nikaanza kupika sasa ila kachumbari sikuweka chumvi lwasababu sije vujia maji ikawa na mchunzi sipendi mchuzi wa kachumbari .
Nikaweka sufuria jikoni nikiwa nimeweka mafuta
View attachment 3223757
Baada ya kuona mafuta yamepata moto vizuri nikaweka nyama nilio chemsha kuna wengine wanapika nyama hawachemshi ila nashuri nyama ichemke sana jikoni
View attachment 3223758
Baada ya kuona mafuta yamechemka vizuri nikatia nyama kama unavyoona hapo juu
Baadae nikawa naikaanga ili nyama iwe na rangi ya kahawia uku nikiwa nimetia kitunguu swahumu
View attachment 3223760Nilipoona rangi ya nyama ishakolea kuwa kahawia na kitunguu swahumu kimeiva nikatia kitunguu maji
View attachment 3223762Nikakikaanga na bada ya hapo nikaweka kiungo cha pilau pilau masala
View attachment 3223764
Nikachukua karoti baada ya mchanganyiko wangu kuwa vizuri nikazikaanga
View attachment 3223770
Baada ya hapo nikachukua nyanya nilio saga wakat nasaga nyanya niliweka mafuta kidogo ili iwe ya njano
View attachment 3223780
Nikaisubir iive kidogo nikaweka mchele nilio letewa na shaanganzi tutunfye wa mwakaleli mbeya
View attachment 3223781Baada ya hapo nikakadilia maji nikauacha jikoni niakrudi jf kuchata
View attachment 3223783
Nilifunika nikapunguza moto ukawa mdogo kabisa
View attachment 3223785
Nilipo kuja kuangalia baada ya nusu saa nikaweka hoho sasa
View attachment 3223786
View attachment 3223787
Nilipo kuja kuaangalia baada ya dakika 15 chakula kikawa kimeiva vzr kabisa nikaipua na kuweka kwenye poti
View attachment 3223788
Na nikaanda matunda yangu pia
View attachment 3223790
Na sasa nakula karibuni
View attachment 3223793
Mkuu kama kuna kitu nilikukwaza samahani sana nisamehe mimi binadamu sipendezewi na comment zakoMariam umepika vizuri sana.
mume ushapata?
Comment ya kiutu uzima sana hiiMkuu kama kuna kitu nilikukwaza samahani sana nisamehe mimi binadamu sipendezewi na comment zako