Pilau vs Biriani

Pilau vs Biriani

amadala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,265
Reaction score
12,268
Hello Wadau!!

Kati ya BIRIANI na pilau wewe unapendelea zaidi chakula kipi Kati ya hivyo viwili?

Binafsi napenda Pilau.

Wewe je?

Jinsi-ya-kupika-pilau-ya-Nyama.jpg

👆PILAU.
beef+biryani.jpg

👆BIRIANI
 
Basmati safi kabisa biryani ni tamu kwa kweli ,pilau labda wapike wadigo lile la kuweka nyanya linakuwa jekundu ila like jingine tunaitwa "wali mchafu" ukila jiandae kuumwa na tumbo.
Hujawahi kula pilau langu.....
Acha kabisa.....
Ila mie ni foodie..
Pilau nakula kila wiki mara moja.
Mara nyingi napika home ijumaaa.
Biriani huwa napika home siku za sikukuu.
Au sherehe za watoto.
Biriani inakula muda na gharama sana kupika.
Pia ni chakula cha hamu siwezi kula kila wiki ila pilau nakula kila wiki.
Ikitokea nina hamu ya biriani naenda kununua kwa dada mmoja yupo Sinza.
 
Aisee!!! Biryani ipewe ulinz!!
Kwa mnaojua kuipika naskia mnaweka mpaka maziwa?!!
 
Back
Top Bottom