Pilau vs Biriani

Pilau vs Biriani

Mi sjawahi na siwezi kula biriani coz siipendagi..PILAU NI[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hata gharama zinajionyesha, gharama ya biriani ni mara tatu ya pilau
 
Hope Leo ni mapilau, Biriani na nyama za kuchoma😋
 
Back
Top Bottom