Pilau vs Biriani

Pilau vs Biriani

PhotoStudio_1663528467911.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda kula wee utanenepa
Baadhi ya vyakula ila najitahidi kutokuvuka 75 na kulingana na urefu wangu si haba
Ila napenda mlo mtamu yaani niko radhi nikate ticket kwenda nchi nyingine kutalii na kula tu
Mwakani Zanzibar prawns na octopus [emoji223] watakoma
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao watu si wamalize msiba kwanza....
Nimeona pia moja Charles yupo na Camilla....nikajisemea tu hiki ndiyo alikuwa anataka....

Huyo wa kumfunua naye alitumwa?[emoji3]
Ukiherehere wake huyo alitaka kuivuta bendera
Ila kibibi Camilla kimejichokea 75 sio mchezo
 
Ukishazoea hao za hawa waswahili huwezi kula hazina ladha sijui kwanin hawaibi ujuzi
Waswahili hawawezi kupika na kuiga hawataki wakiogopa gharama ingawa haina gharama kihivyo ni mapishi tu

Hapo labda mishkaki tu ila likija suala la mlo wa mchana foreigners wanapika kwa kweli

Hata hapa [emoji636] napendelea restaurants za waturuki na Lebanese na Syrians na Somali of course [emoji1]
 
Hujawahi kula pilau langu.....
Acha kabisa.....
Ila mie ni foodie..
Pilau nakula kila wiki mara moja.
Mara nyingi napika home ijumaaa.
Biriani huwa napika home siku za sikukuu.
Au sherehe za watoto.
Biriani inakula muda na gharama sana kupika.
Pia ni chakula cha hamu siwezi kula kila wiki ila pilau nakula kila wiki.
Ikitokea nina hamu ya biriani naenda kununua kwa dada mmoja yupo Sinza.
Shangaziiii ntakuja unifunzee kupika pilau aseeeh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sina hata kimoja ninachopenda hapo...

Pilau nakula si kwakuwa nimetamani au napenda... inatokea tu... naweza kukaa hata miezi 3/4 sijala...

Hiyo Inayoitwa Biriani kwangu mimi ni chakula kipo Overrated sana... sijawahi kukitamani..
We endeleza makande na mtori
 
  • Kicheko
Reactions: amu
Waswahili hawawezi kupika na kuiga hawataki wakiogopa gharama ingawa haina gharama kihivyo ni mapishi tu

Hapo labda mishkaki tu ila likija suala la mlo wa mchana foreigners wanapika kwa kweli

Hata hapa [emoji636] napendelea restaurants za waturuki na Lebanese na Syrians na Somali of course [emoji1]
Umesema kweli
 
Kumbe hajazaa na charles
Camila kwenye hilo kasri alikuwa nani?kabla ya kuwa na charles
Ukisoma kitabu kimoja kuhusu hii familia ya hawa ni vurugu na hata unaweza kusema kichefuchefu

Camilla Shand alikuwa na urafiki na Andrew Parker Bowles mguu nje mguu ndani kwa miaka karibu mitano huku Charles nae akidonoa

Lakini Andrew nae akawa ana urafiki na Dada yake na Charles yaani Princess Anne
Hiyo ni miaka ya 70

Andrew alikuwa mhitimu wa Sandhurst na alikuwa Lt wa Jeshi alipokutana na Anne walipendana lakini hakuweza kumuoa Anne kwa sababu Andrew ni Mkatoliki

Historia ni ndefu acha niishie hapo tu
Unaweza kubukua hicho kitabu

Ila kwenye Crown [emoji146] kuna viroja vingi sana
Yaani ni tamthilia tosha

Screenshot_20220919-084102_Chrome.jpg
Screenshot_20220919-083815_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom