Pilau vs Biriani

Basmati safi kabisa biryani ni tamu kwa kweli ,pilau labda wapike wadigo lile la kuweka nyanya linakuwa jekundu ila like jingine tunaitwa "wali mchafu" ukila jiandae kuumwa na tumbo.
Hujawahi kula pilau langu.....
Acha kabisa.....
Ila mie ni foodie..
Pilau nakula kila wiki mara moja.
Mara nyingi napika home ijumaaa.
Biriani huwa napika home siku za sikukuu.
Au sherehe za watoto.
Biriani inakula muda na gharama sana kupika.
Pia ni chakula cha hamu siwezi kula kila wiki ila pilau nakula kila wiki.
Ikitokea nina hamu ya biriani naenda kununua kwa dada mmoja yupo Sinza.
 
Aisee!!! Biryani ipewe ulinz!!
Kwa mnaojua kuipika naskia mnaweka mpaka maziwa?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…