asante sana, niende nikatoe ushamba
Nadhani hawa ndiyo wapika Mandi inayoeleweka Dar...Lumumba st
Al Maida Mandi Restaurant
Kajipige weekend mkuu hutajutia
Al Maida ipo lumumbaaisee kwa hapa dar ni mgahawa gani wanauza?
Kila lenye kheri...utaleta mrejesho..asante sana, niende nikatoe ushamba
Kwa kweli anaekula Mandi atasahau zote hizo
Mimi kila wiki lazima nipate Mandi View attachment 2361035View attachment 2361036
Al Maida ipo lumumba
Na nyingine ipo mtaa wa Tandamuti
Bait Al Mandi
Haswa umenena ndio maana nikaoa huko mwezi unanenepa kama dozi vileWanaojua kupika birian waarabu /Wasomal
Hata hiyo basmat ikipikwa pilau ni balaaa haiwezi fikia mchele wa kawaida
Kila mtu anapika birian ukionja hovyo kabisa [emoji23][emoji23]baadhi kidogo wanapatia wanajitahi ila hawawezi fikia hao
Haswa umenena ndio maana nikaoa huko mwezi unanenepa kama dozi vile
Pole....natamani kuuliza bei kama mnazijua lakini mapigo ya moyo yanaenda kasi sana
Wasomali na Wa Yemen [emoji1267]Hii wamepika watu gani?
Sana yaani mpaka lugha nimeijua na nimelala sana hapoAl uruba ushawah kula pia?
Wasomali na Wa Yemen [emoji1267]
Sana yaani mpaka lugha nimeijua na nimelala sana hapo
AsanteUkienda kula kwa wengine bure kabisa
Inakukifu haraka ipikwe na hao watu weeee balaa
Hongera jinenepeee
Asante
Kama ukitaka kula nje naenda kwao