Baadhi ya vyakula ila najitahidi kutokuvuka 75 na kulingana na urefu wangu si haba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda kula wee utanenepa
Ukiherehere wake huyo alitaka kuivuta bendera[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao watu si wamalize msiba kwanza....
Nimeona pia moja Charles yupo na Camilla....nikajisemea tu hiki ndiyo alikuwa anataka....
Huyo wa kumfunua naye alitumwa?[emoji3]
Camila Ana watoto?Ukiherehere wake huyo alitaka kuivuta bendera
Ila kibibi Camilla kimejichokea 75 sio mchezo
Wacha weee kama nakuona haha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiherehere wake huyo alitaka kuivuta bendera
Ila kibibi Camilla kimejichokea 75 sio mchezo
Waswahili hawawezi kupika na kuiga hawataki wakiogopa gharama ingawa haina gharama kihivyo ni mapishi tuUkishazoea hao za hawa waswahili huwezi kula hazina ladha sijui kwanin hawaibi ujuzi
Ewaaa!Wacha weee kama nakuona haha
Ndio inataka ukae hivyo sasa
Tom na Laura ndio wanae pekee kwa ndoa ya kwanzaCamila Ana watoto?
Manshaa AllahEwaaa!
Mi naipendea nyama naiwekea asali kiasi.
Aende na 40,000 chenji nyingi itabaki kama wapo wawili
Shangaziiii ntakuja unifunzee kupika pilau aseeeh.Hujawahi kula pilau langu.....
Acha kabisa.....
Ila mie ni foodie..
Pilau nakula kila wiki mara moja.
Mara nyingi napika home ijumaaa.
Biriani huwa napika home siku za sikukuu.
Au sherehe za watoto.
Biriani inakula muda na gharama sana kupika.
Pia ni chakula cha hamu siwezi kula kila wiki ila pilau nakula kila wiki.
Ikitokea nina hamu ya biriani naenda kununua kwa dada mmoja yupo Sinza.
We endeleza makande na mtoriSina hata kimoja ninachopenda hapo...
Pilau nakula si kwakuwa nimetamani au napenda... inatokea tu... naweza kukaa hata miezi 3/4 sijala...
Hiyo Inayoitwa Biriani kwangu mimi ni chakula kipo Overrated sana... sijawahi kukitamani..
Umesema kweliWaswahili hawawezi kupika na kuiga hawataki wakiogopa gharama ingawa haina gharama kihivyo ni mapishi tu
Hapo labda mishkaki tu ila likija suala la mlo wa mchana foreigners wanapika kwa kweli
Hata hapa [emoji636] napendelea restaurants za waturuki na Lebanese na Syrians na Somali of course [emoji1]
Kumbe hajazaa na charlesTom na Laura ndio wanae pekee kwa ndoa ya kwanza
Asije akasema ana mimba tu naandamana
Ukisoma kitabu kimoja kuhusu hii familia ya hawa ni vurugu na hata unaweza kusema kichefuchefuKumbe hajazaa na charles
Camila kwenye hilo kasri alikuwa nani?kabla ya kuwa na charles
Hii ni pilau ya mchele wa basmat?!!Its pilau for meView attachment 2361389