Pilau ya mayai ya kuchemsha

Pilau ya mayai ya kuchemsha

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kwa wale tuliyoipa nyama mgongo, pilau ya mayai iko poa kabisa. Unachemsha mayai na kuyamenya. Unayaweka kwenye pilau baada ya mchele na kuacha mchele ukauke.
1074628

Kata kachumbari ya kitunguu nyanya ndimu na pilipili.

Pasaka njema.
 
View attachment 1074628

Hiyo inatwa kiazi yai. Hatar sana hiyo mkuu
 
Kuna uzi unaitwa "mimi ni mwathirika". Unatajwa tajwa huko... Tafadhali kakanushe...
Kwa wale tuliyoipa nyama mgongo, pilau ya mayai iko poa kabisa. Unachemsha mayai na kuyamenya. Unayaweka kwenye pilau baada ya mchele na kuacha mchele ukauke.
View attachment 1074628

Kata kachumbari ya kitunguu nyanya ndimu na pilipili.

Pasaka njema.
 
Kuna uzi unaitwa "mimi ni mwathirika". Unatajwa tajwa huko... Tafadhali kakanushe...
Huu mbona sio au
 
Kwa wale tuliyoipa nyama mgongo, pilau ya mayai iko poa kabisa. Unachemsha mayai na kuyamenya. Unayaweka kwenye pilau baada ya mchele na kuacha mchele ukauke.
View attachment 1074628

Kata kachumbari ya kitunguu nyanya ndimu na pilipili.

Pasaka njema.
Shikamoo Bibi ntaka kuelewa namna ya kupika pilau.sijapata fursa ya kula pilau kwa sababu mimi si mwenyeji wa huko Tanzania.je unaweza kunieleza? nashukuru
 
Mahitaji:
Mchele 500mg
Nyama 500mg
Vitu huu maji viwili
Vitunguu saumu kimoja kizima
Tangawizi moja
Chumvi
Mafuta
Viungo vya pilau
Maji
Viazi

Mapishi:
Kata nyama uioshe, weka limao kitunguu saumu na tangawizi na chumvi acha ichemke.
Nyama ikiiva okoa na uitoe nyama kwenye supu supine utaihitaji
Menya viazi vigawe nusu kama ni vikubwa vikaange kwenye mafuta mpaka viwe na rangi ya kahawia
Osha mchela weka pembeni
Menya kitunguu saumu na tangawizi ponda kwenye kinu
Menya kitunguu maji anza kukaanga mpaka kiwe hudhurungi
Weka tangawizi na kitunguu saumu endelea kukaanga
Weka viuno vya pilau endelea kukaanga
Weka nyama na viazi endears kukaanga
Weka chumvi kwa test yako
Weka mchele endelea kukaanga
Weka sulu ya nyama ongeza na maji ya kuivishia
Punguza moto acha pilau iive taratibu.
 
Asante sana kwa kunieleza
 
Sio mbaya kutupia humo nyanya moja ili lisiwe kavu
 
Back
Top Bottom