Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inatwa kiazi yai. Hatar sana hiyo mkuuKwa wale tuliyoipa nyama mgongo, pilau ya mayai iko poa kabisa. Unachemsha mayai na kuyamenya. Unayaweka kwenye pilau baada ya mchele na kuacha mchele ukauke.
View attachment 1074628
Kata kachumbari ya kitunguu nyanya ndimu na pilipili.
Pasaka njema.
Atomic boom made by Sky EclatKwa wale tuliyoipa nyama mgongo, pilau ya mayai iko poa kabisa. Unachemsha mayai na kuyamenya. Unayaweka kwenye pilau baada ya mchele na kuacha mchele ukauke.
View attachment 1074628
Kata kachumbari ya kitunguu nyanya ndimu na pilipili.
Pasaka njema.
Kwa wale tuliyoipa nyama mgongo, pilau ya mayai iko poa kabisa. Unachemsha mayai na kuyamenya. Unayaweka kwenye pilau baada ya mchele na kuacha mchele ukauke.
View attachment 1074628
Kata kachumbari ya kitunguu nyanya ndimu na pilipili.
Pasaka njema.
Huu mbona sio auKuna uzi unaitwa "mimi ni mwathirika". Unatajwa tajwa huko... Tafadhali kakanushe...
Shikamoo Bibi ntaka kuelewa namna ya kupika pilau.sijapata fursa ya kula pilau kwa sababu mimi si mwenyeji wa huko Tanzania.je unaweza kunieleza? nashukuruKwa wale tuliyoipa nyama mgongo, pilau ya mayai iko poa kabisa. Unachemsha mayai na kuyamenya. Unayaweka kwenye pilau baada ya mchele na kuacha mchele ukauke.
View attachment 1074628
Kata kachumbari ya kitunguu nyanya ndimu na pilipili.
Pasaka njema.
Mahitaji:Shikamoo Bibi ntaka kuelewa namna ya kupika pilau.sijapata fursa ya kula pilau kwa sababu mimi si mwenyeji wa huko Tanzania.je unaweza kunieleza? nashukuru
Asante sana kwa kunielezaMahitaji:
Mchele 500mg
Nyama 500mg
Vitu huu maji viwili
Vitunguu saumu kimoja kizima
Tangawizi moja
Chumvi
Mafuta
Viungo vya pilau
Maji
Viazi
Mapishi:
Kata nyama uioshe, weka limao kitunguu saumu na tangawizi na chumvi acha ichemke.
Nyama ikiiva okoa na uitoe nyama kwenye supu supine utaihitaji
Menya viazi vigawe nusu kama ni vikubwa vikaange kwenye mafuta mpaka viwe na rangi ya kahawia
Osha mchela weka pembeni
Menya kitunguu saumu na tangawizi ponda kwenye kinu
Menya kitunguu maji anza kukaanga mpaka kiwe hudhurungi
Weka tangawizi na kitunguu saumu endelea kukaanga
Weka viuno vya pilau endelea kukaanga
Weka nyama na viazi endears kukaanga
Weka chumvi kwa test yako
Weka mchele endelea kukaanga
Weka sulu ya nyama ongeza na maji ya kuivishia
Punguza moto acha pilau iive taratibu.
Ni yeye mwenyewe mbona..Kuna uzi unaitwa "mimi ni mwathirika". Unatajwa tajwa huko... Tafadhali kakanushe...
Kwa wale tuliyoipa nyama mgongo, pilau ya mayai iko poa kabisa. Unachemsha mayai na kuyamenya. Unayaweka kwenye pilau baada ya mchele na kuacha mchele ukauke.
View attachment 1074628
Kata kachumbari ya kitunguu nyanya ndimu na pilipili.
Pasaka njema.
Nzuri [emoji39]Kwa wale tuliyoipa nyama mgongo, pilau ya mayai iko poa kabisa. Unachemsha mayai na kuyamenya. Unayaweka kwenye pilau baada ya mchele na kuacha mchele ukauke.
View attachment 1074628
Kata kachumbari ya kitunguu nyanya ndimu na pilipili.
Pasaka njema.
Sio mbaya kutupia humo nyanya moja ili lisiwe kavuMahitaji:
Mchele 500mg
Nyama 500mg
Vitu huu maji viwili
Vitunguu saumu kimoja kizima
Tangawizi moja
Chumvi
Mafuta
Viungo vya pilau
Maji
Viazi
Mapishi:
Kata nyama uioshe, weka limao kitunguu saumu na tangawizi na chumvi acha ichemke.
Nyama ikiiva okoa na uitoe nyama kwenye supu supine utaihitaji
Menya viazi vigawe nusu kama ni vikubwa vikaange kwenye mafuta mpaka viwe na rangi ya kahawia
Osha mchela weka pembeni
Menya kitunguu saumu na tangawizi ponda kwenye kinu
Menya kitunguu maji anza kukaanga mpaka kiwe hudhurungi
Weka tangawizi na kitunguu saumu endelea kukaanga
Weka viuno vya pilau endelea kukaanga
Weka nyama na viazi endears kukaanga
Weka chumvi kwa test yako
Weka mchele endelea kukaanga
Weka sulu ya nyama ongeza na maji ya kuivishia
Punguza moto acha pilau iive taratibu.
[emoji26][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji41][emoji41][emoji41][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]Fuata hatua hiyo hiyo kuandaa pilau ya mahindi ya kuchemsha.