Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Bell pepper..Pili pili hoho, hasa hoho za njano ni moja ya matunda yenye Vitamin C nyingi zaidi. Ina vitamin C nyingi kuliko machungwa na malimao.
Vitamin C ni muhimu sana katika kujenga mwili na kujenga kinga ya mwili. Ukosefu wa vitamini C uliua sana mabaharia wa zamani baada ya kuwa wamekosa matunda na mboga mboga katika safari zao.
Wakati wa Covid tulihamasishwa sana kutumia malimao ili tupate vitamin C. Kumbe tulitakiwa hasa kuhamasishana kula pili pili hoho. Mtu mwenye mafua anaweza andikiwa kutumia vidonge vya vitamin C au malimao. Lakini hoho zina faida zaidi. Kuhusu vitamin C, mapera ndiyo funga kazi. Hakuna tunda lenye vitamin C nyingi kama mapera. Yangu ni hayo tu, dada Pipi nishushe.
View attachment 3659243
unakula mbichi?Nakula sana hoho hasa kwenye mboga haikosi na kwenye kachumberi au salad
Pili pili hoho, hasa hoho za njano ni moja ya matunda yenye Vitamin C nyingi zaidi. Ina vitamin C nyingi kuliko machungwa na malimao.
Vitamin C ni muhimu sana katika kujenga mwili na kujenga kinga ya mwili. Ukosefu wa vitamini C uliua sana mabaharia wa zamani baada ya kuwa wamekosa matunda na mboga mboga katika safari zao.
Wakati wa Covid tulihamasishwa sana kutumia malimao ili tupate vitamin C. Kumbe tulitakiwa hasa kuhamasishana kula pili pili hoho.
Mtu mwenye mafua anaweza andikiwa kutumia vidonge vya vitamin C au malimao. Lakini hoho zina faida zaidi. Kuhusu vitamin C, mapera ndiyo funga kazi. Hakuna tunda lenye vitamin C nyingi kama mapera. Yangu ni hayo tu, dada Pipi nishushe.
View attachment 3659243
Na ukipika haitakiwi kuiva sana. Joto huharibu vitamin Cunakula mbichi?
Mapera na ubuyu viko juu sana. Bahati mbaya tukiwa watu wazima tunaacha kula haya matunda.Pera lina vitamin C mara nne zaidi ya chungwa ama limao...
Vipi ukwaju?Mapera na ubuyu viko juu sana. Bahati mbaya tukiwa watu wazima tunaacha kula haya matunda.
Ukwaju una kiasi kidogo sana.Vipi ukwaju?
Unaweza kupanda kwenye makopo nyumbani. Zinazaa muda mrefu sana. Au tumia za kijani, nazo zina kiasi kikubwa sana.Daaah uku kwetu HOHO ya njano 1 ni elfu 2000. Noma sana.
Kazi ni kipimo cha utu
👍🏼🤝Ukwaju una kiasi kidogo sana.