Pilipili ina raha gani?

Pilipili ina raha gani?

Khalu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
523
Reaction score
567
Habari za muda huu

Kama kichwa kinavyosema.

Japo tunatofautiana lakini twende mbele turudi hivi pilipili ina raha gani?

Kila nikijaribu ili niione kawaida kama wengine, asee naona hapana huku ni kujitesa, halafu unakuta kuna mtu haoni raha ya chakula bila ya pilipili.

Hivi mnasikia raha gani?

Yaani chakula kizuri, kitamu halafu unaongeza tena na pilipili aloo..........kwangu huko ni kuharibu chakula.

Watu ambao wapo serious wanajua kuwa kula pilipili ni kujiadhibu😂😂😂 njooni taratibu.
 
Unakuta mtu anakataa pilipili lakini anaingia chumvini!.. shetani asipokupata kwenye A anakusubiri kwenye Z na akikukosa kote huko basi anaingia kwenye namba zaidi zaidi namba 6..

Mi nakula pilipili ila sio ile inafika hatua unatumbua jicho Kama ng'ombe!.
 
Mi nakula pilipili ila sio ile inafika hatua unatumbua jicho Kama ng'ombe!.[emoji23]
 
Unakuta mtu anakataa pilipili lakini anaingia chumvini!.. shetani asipokupata kwenye A anakusubiri kwenye Z na akikukosa kote huko basi anaingia kwenye namba zaidi zaidi namba 6..
Mi nakula pilipili ila sio ile inafika hatua unatumbua jicho Kama ng'ombe!.
Tumeevolve. Siku hizi tunazama chumvini na kwenye ukwaju
 
Unakuta mtu anakataa pilipili lakini anaingia chumvini!.. shetani asipokupata kwenye A anakusubiri kwenye Z na akikukosa kote huko basi anaingia kwenye namba zaidi zaidi namba 6..

Mi nakula pilipili ila sio ile inafika hatua unatumbua jicho Kama ng'ombe!.
Hahaaaaa
 
Sasa mimi hata nikijaribu Ile wanayosema wengine hamna kitu hapa, huwa naona ni balaa.

Pilipili kwakweli hapana.
 
Back
Top Bottom