msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,192
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mi pilipili zote kwangu ni kichaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mi pilipili zote kwangu ni kichaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahaha[emoji51][emoji27]Kuna muhindi nilikutana nae Mwanza akitaka kupima pilipili Kama ni Kali ,anaikata anasugulia kwenye jicho.
Wenu mtiifu,
Mwalimu wa muziki na mapenzi.
Kuna muhindi nilikutana nae Mwanza akitaka kupima pilipili Kama ni Kali ,anaikata anasugulia kwenye jicho.
Wenu mtiifu,
Mwalimu wa muziki na mapenzi.
Mimi nakula sana ila nikiwa nafanya mazoezi niligundua kama inanichoma(kichomi)sijui ndiyo tatizo pilipili ?Nilikuwa sili kwakuwa nafanya mazoezi. Kutokana na kutoila muda mkubwa hata baada ya kuacha mazoezi mpaka leo situmii pilipili.
Ukiwa huko lazima utapata ulabu wa Pilipili hasa kama sie miaka hiyo ya 80s imagine tulipiga kitabu miaka miwili. Ilikuwa hakuna jinsi halo Lagos, ila mwenzangu Nadhani ulijitahidi usile konokono maana nasikia ukila konokono lazima uanze kuuza ngandaUmenikumbusha kuna siku nikarishwa chakula wanigeria, asee nijuta.
Wale jamaa nao wanapenda sana pilipili.
Japo sijawahi kufika huko kwao kabisa, ila kuna mazingira nilipata kuishinao, ingawa hii ya kula konokono sijawahi kulisikia kwa hawa.Ukiwa huko lazima utapata ulabu wa Pilipili hasa kama sie miaka hiyo ya 80s imagine tulipiga kitabu miaka miwili. Ilikuwa hakuna jinsi halo Lagos, ila mwenzangu Nadhani ulijitahidi usile konokono maana nasikia ukila konokono lazima uanze kuuza nganda
Weka na tangawizi nyingi. Ule muwasho wake sasa. Unaweza kunywa chai chupa nzima. Mie siku hizi mpk chakula cha mchana nakunywa na chai. Na nikikosa pilipili nakuwa kama teja [emoji24]Ukiachana na faida za kiafya. Pilipili inaongeza hamu ya kula. Pilipili ilivyo tamuuu mimi napenda pilipili uwiiii. Kwenye chai inabid nijaze black pepper ili ninywe.
Daah hadi mate yamenidondokaNyama Choma au Nyama Kavu yoyote ninapoila Lazima pembeni niwe na Mixer hii hapa Chini
Mahitaji
Pilipili za kuwasha kweli kweli 3 au 4
Malimao makubwa mazuri ma 2
Chumvi kidogo tu
Maandalizi
Kata pilipili ndogo ndogo sana unachop vyema kbsa vnakua vidogoo
Unakamulia yale malimao mawili makubwa maji yake kwenye hizo pilipili
Unasiginia vizuri kabisa maji yasipotosha unaongeza limao 1 na pilipili 1
Unanyunyizia chumvi kwenye hako kamchanganyiko chako,kazi inaishia hapo.
Tonge 1 la ugali nyama unachovya kwenye hiyo mixer,Uamuzi ni wako uchovye
nyama kwenye mixer u uchovye tonge la ugali,Mimi kwakua n mkombaji pilipili
huwa nachovya nyama, kisha ugali unend dry mdomoni,NI MOJA ya kiungo changu
pendwa sana wakati nakula,Kama hamna malimao sio mbaya pilipili nikishka mkononi
nikiwa naitafuna yenyewe kama yenyewe huku nikiw nachakula changu pembeni.
Msosi usio washa Bado haujakamilika,pilipili ndio Kila kitu kwenye misosi yangu.
mi chai isiyo na limao sinywi,
chakula chochote kisicho na pilipili sili!