Pilipili ya mwendo kasi

Pilipili ya mwendo kasi

Dah...nasikia hii pilipilĂ­ imeletwa Africa na wachina ili kupunguza waafrica kuzaliana.... nimesikia tu[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Toka nimeanza kula hii pili pili appetite imeongezeka kweli. Kumbe chanzo ni mwendo kasi !

God save us


Pilipili ni dawa atii...
Inatibu hali ya kuongeza hamu ya kula, yaani chakula wakiona kitamuu, wajikuta walaa tuu.
Utamu kunoga kuzidi sukari....
 
Hahah...

Miye najua habari za sukari tu 👸, habari za pilipili nawaachia wanaotaka washwa kama Kasie

Sukariiiii......

Ngoja nikuulize swali, ukiwa umeketi kibarazani muda ya jioni unaperuzi gazeti la siku hiyo huku unapata kikombe cha gahawa, mara anaingia mwandani wako kutoka sokoni, analalama sukari wangu sukari wangu ntafanyaje mie.... Huku unahamaki unamuuliza, kulikoni mwandani wangu mbona hivyo..!!?? Anakujibu nimetoka gengeni kununua mboga mboga kisha nikanunua na pilipili za mwendo kasi, sasa wakati nachagua pale gengeni kumbe kuna nyingine zilikuwa zimepasuka. Nikiwa njiani narudi nyumbani upepo ukavuma ukanirushia vumbi usoni mchanga ukaniingia machoni, nikaanza kujipangusa mchanga nikiwa nimesahau nilichagua pilipili....
Sukariii waanguuu, nawashwaaa hata sijui leo kama mapishi yataivaaa uuuwiiiiii nawashwaaaaaa......

Swali: utamhidumiaje mwandani wako hata muwasho umuisheee...!!???

Usiseme nimevuta bangi, hapo sijataja tusi hata moja aahahahahhahaaaaaa.

Sukari ya mwandaniii aahahahahahaaaa ukimaliza kucheka bin kutabasamu udondoshe jibu.

Ila leo kabla sijalala ntapiga pafu moja nna kiwii...

Matata the K.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
My [emoji1780], sie tuwaze tuu mirinda nyeusi na keki


Aahahahahaaaa kwa mtaji huo, usiwe tuu mvivu wa kisukutua muarobaini kama si mouthwash mara kwa mara ama laah usiwe mvivu kupiga mswaki kila baada ya mlo finginefyo itakuwa kibogoyoo yaani taosa menoo eeheheheheee.

Enjoy mwaya nakutania, mie nshavuka era ya kula sukari sukari niko era ya pilipili na baangiiiliii aka ugorooo aahahahahhahaaa.

Sukari ambayo haihitaji kusafisha kinywa mara kwa mara ni hiyo iliyo pembeni yako aka Watu8 na uzuri wake haikifu, haiozi na hainenepeshi yaani unajikuta unaibugia tuu aaammm....aaammmm ushameza....

Waliowahi kula sukari guru watanielewa, miaka ileee enzi za bulga.

Kasinde Matata.
 
@Kasie,Shkamoo dada Kasie...
Yaani nimetoka hapo na hiyo sukari ya warembo jamani Watu8
 
Hewalaaa...ukila hizo wajilamba hadi utamu wa mwisho

Alaambaa alaambaaa aaammmm aaammmm
Alamba alamba tena, aaammm aammm....

Haya wenye sukari zenuu, karibuni upande huu wa pilipili mtaamuu...aahahahahaaa.
 
Dah...nasikia hii pilipilĂ­ imeletwa Africa na wachina ili kupunguza waafrica kuzaliana.... nimesikia tu[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160


Aahahahhahaaa acha roho mbayaa, ni waafrika pekee wenye uzao mwingi duniani hata uwatese vipi wanazaana tuu.

Kwanza zile mbegu za pilipili mwanaume akizimeza nzima nzima anaongeza nguvu za kiume na manii zinakuwa nyingi na nzito.
 
Kasinde

Nitanyonya macho kuyatia sukari...

Hii akili nimeikopa kwako ujue



Aaahahahahhaaahahahahahhaaaa
Shuubaaamiiit.....

Hivi watuuu, kwani ni wewe....

Mmmhhhhh.... Kuna mtu mmoja tuu enzi hizooo tulikiwa tunaongelea habari za kunyonya macho...

Ujue umenifikirisha..... mmmhhhh.....

Is that you...!!???

Ila kwa werevu huu si bure itakuwa umevuta pafu tatu hivii.....aahahahahhaahhahaaaa

Athari au matokeo yake wayajua lakini.... huko kunyonya macho hukoo.....aahahahahahahahhaaaaa
Wee Sukari unaniambiaga mimi ni shida Ila wewe umepinda aiseeeh mwezi una afadhali eeheheheeheheeee.
 
[emoji848][emoji848][emoji848]


Aahahahahahhaaaa Sakayo, you need to be an artist sometimes looh. This life is so possible to live wrinkle free aahahahahahaaa.

Wee jiandaee mamaa, utapatiwa massage ya macho hujawahi ona na ukitoka hapo macho yako yanakuwa imara na angavu zaidi ya yalivyokuwa mwanzo....

It's okay and all is well do not worry....
 
Back
Top Bottom