Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Sauti inatosha kabisaa my [emoji1780]
Sauti sasa mwafaidi wengi, wakati sukari wafaidi mlambaji 👸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sauti inatosha kabisaa my [emoji1780]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji1780]Sauti sasa mwafaidi wengi, wakati sukari wafaidi mlambaji [emoji73]
Toka nimeanza kula hii pili pili appetite imeongezeka kweli. Kumbe chanzo ni mwendo kasi !
God save us
MmmhhhAahaahhahahahaaaa
Hapa kuna habari nyepesi tuu, pilipili ya mwendo kasi ni balaa... Inawasha huku inampa utamu na ladha murua mlaji...
Hahah...
Miye najua habari za sukari tu 👸, habari za pilipili nawaachia wanaotaka washwa kama Kasie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
My [emoji1780], sie tuwaze tuu mirinda nyeusi na keki
[emoji848][emoji848][emoji848]Kasinde
Nitanyonya macho kuyatia sukari...
Hii akili nimeikopa kwako ujue
Dah...nasikia hii pilipilĂ imeletwa Africa na wachina ili kupunguza waafrica kuzaliana.... nimesikia tu[emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Huo mwandiko unahamasiishaaaAahahahahaa ajeee Sakayoo...
Kasinde
Nitanyonya macho kuyatia sukari...
Hii akili nimeikopa kwako ujue
[emoji848][emoji848][emoji848]