Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi hicho?ha ha ha...kuna kiswali nimekiona hapo hata sijui kimetoka wapi!!
[emoji23] [emoji39] [emoji144] kiwatengu umeanza kukumbukia kiswali ulichomtwanga eeh. Ila nlipenda dizain ulivyokuwa unapangua na kujibu maswali Valentina.
ha ha ha ha kuna kiswali kizuri nilimuuliza kuhusu mapenzi ya jinsia moja[emoji23] [emoji39] [emoji144] kiwatengu umeanza kukumbukia kiswali ulichomtwanga eeh. Ila nlipenda dizain ulivyokuwa unapangua na kujibu maswali Valentina.