Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mwalimu akiongea kitu lazima awe shule?
Dadavua kidogo.
Huenda ukanishawishi japo sio kweli.
Alimaanisha, laiti ingekuwa asubuhi, saa hizi tayari ni jioni!.Habari zenu Wana JF, naamini wote ni wazima wa afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye swali langu la leo.
----------------------------------------------------------------
Mwalimu alisema "Laiti Jana ingekuwa Kesho, Leo ingekuwa Ijumaa".
Je Mwalimu aliyasema hayo siku gani?

Nategemea Jibu kutoka kwenu.
Asanteni.
Habari zenu Wana JF, naamini wote ni wazima wa afya.