Pima uwezo wako wa kufikiria hapa>>>>>>>>>>>

Mi jibu langu kama la my babu Asprin ful stop.
 
Last edited by a moderator:
ilikuwa siku yoyote kati ya Jumanne, Jumatano na Alhamisi
 
Habari zenu Wana JF, naamini wote ni wazima wa afya.

Bila kupoteza muda twende kwenye swali langu la leo.

----------------------------------------------------------------
Mwalimu alisema "Laiti Jana ingekuwa Kesho, Leo ingekuwa Ijumaa".

Je Mwalimu aliyasema hayo siku gani?

Nategemea Jibu kutoka kwenu.

Asanteni.
Alimaanisha, laiti ingekuwa asubuhi, saa hizi tayari ni jioni!.

Pasco.
 
Habari zenu Wana JF, naamini wote ni wazima wa afya.

Bila kupoteza muda twende kwenye swali langu la leo.

----------------------------------------------------------------
Mwalimu alisema "Laiti Jana ingekuwa Kesho, Leo ingekuwa Ijumaa".

Je Mwalimu aliyasema hayo siku gani?
----------------------------------------------------------------

Nategemea Jibu kutoka kwenu.

Asanteni.

Lol...majibu mawili:

Jumatano na Jumapili.

Logic:

Laiti kama jana ingekuwa kesho: basi kesho ingekuwa jana pia.

jumatano ingekuwa ijumaa, ijumaa ingekuwa jumatano, na ijumaa ingekuwa jumapili na jumapili ingekuwa ijumaa pia..

kwa hivyo mwalimu aliyasema hayo Jumatano au Jumapili (Provided ni shule ya boarding na walimu wapo jumapili..lol)
 
Habari zenu Wana JF, naamini wote ni wazima wa afya.

Bila kupoteza muda twende kwenye swali langu la leo.

----------------------------------------------------------------
Mwalimu alisema "Laiti Jana ingekuwa Kesho, Leo ingekuwa Ijumaa".

Je Mwalimu aliyasema hayo siku gani?
----------------------------------------------------------------

Nategemea Jibu kutoka kwenu.
Asanteni.

Huyo mwalimu atakuwa ni gfsonwin u,kama siye basi ni snowhite
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom