Pima uzazi kabla ya ndoa, kuna mateso ukigundua sio mzima viungo vya uzazi

Yani hapo kwenye kuonekana hakuna shida ndio huwa chanzo cha yote.Sijui tuganyeje
 
Iliniuma sana ,Shangazi angu aliolewa 2016 na jamaa mmoja hivi wa pwani ,nilikuwa najua fika shangazi hana kizazi , nilijaribu kufanya mbinu zote nimsanue jamaa lakini ilishindikana wakafunga ndoa mwezi wa 11 mwaka 2016 ,mpaka Leo hakuna mtoto kabisa maana shangazi alikuwa bingwa sana wa kutoa mimba.

Shangaz alivokuwa anakuja na jamaa kijijini alikuwa hamwachii upepo hata kidogo mtu uongee nae kabisa
 
shangazi yako hana tofauti na mchawi.
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] shangazi huyo alikua field martial....
 
shangazi yako hana tofauti na mchawi.
Utakuta mtu wa pwani nae hana uzazi ndio utashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…