Pinda: Badala ya kuwaza maendeleo, tunawaza nani atakuwa Rais 2025

"Kwa hali hii wacha tu tuendelee kusindikiza wenzetu"

Kumbe huko CCM wanajua wametufelisha kimaendeleo miaka mingi iliyopita, ajabu bado wanapambana waendelee kututawala.
Kinachowindwa ni kodi yako.
 
Pinda alifaa kuwa Rais ajabu makamba na membe akaingia tano bora watu wenye uwezo wa uongozi wakaachwa
 
Huyu enzi za Mwendazake alikuwa anawaza Katiba ibadilishwe ili Magu atawale Milele..

Tuna watu wanafiki sana nchi hii..
 


Hivi hajaachaga tu huu mtindo wa kukaa kama anajitoa kwenye jamiina kwamba hahusiki na yanayoendelea nchini!!

 
O
Pinda alifaa kuwa Rais ajabu makamba na membe akaingia tano bora watu wenye uwezo wa uongozi wakaachwa
Afadhali hao akina Membe na Makamba sikuwahi kuwasikia wakisema tubadili katiba Magufuli atawale milele, walistahili kuwa tano bora kuliko hili lizee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…