imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Nchi itaendelea kuoza,huyu hana lolote.Pinda alifaa kuwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi itaendelea kuoza,huyu hana lolote.Pinda alifaa kuwa
Iyo issue, uwe navyo au usiwe navyo duniani tutaondoka tu. Tafuta mali ukiondoka uliowaacha wazifaidi pi. Sio unaondoka mikono mitupu, madogo wanaanza kuhustle upya
Kweli kabisaaa
Nyuki nao ni kilimo.mji umejaa mizinga ya nyuki siku wakicharuka tutatafutanaBora angemiliki yote kwani ni mkulima bora kabisa.
Usiwe na wivu kama Mugabe
Sasa kama tunaongozwa na watu wasio na Maono, lazima wawaze hivyo.
Kama hizo hatua hazionekani tuwaze nini sasa?
Huyu naye bure kabisa. He was a PM and was empowered and had obligation to bring development to his people. kama alishindwa, basi asiwalaumu wenzake wanaoshindwa
kumjua rais ajaye ni muhimu sana ili kufanya tahmini ya kuwa huyo rais atatosha.kama ni maendeleo chini ya mfumo huu uliopo wa kulindana na kugawana vyeo kwa kujuana hatuwezi fika mbali unless tupate kwanza katiba mpya.
Sio ndugu yako katika imani?Nchi itaendelea kuoza,huyu hana lolote.
Tuweke kumbukumbu sawa, pia alishawahi kulia bungeni.
Kwani wewe njaa zako hutoziacha hapa hapa duniani? Acha wanaoweza kutumia ardhi wamiliki na kuzalisha. Mawazo ya kimaskini hayo eti utaviacha hapa hapa.
Labda kwa Taarifa yako wewe na wengine wasiojua ni kwamba Mizengo Pinda ni miongoni mwa watu wa system wanaopanga njama zote za kuminya demokrasia ili kuiokoa ccm , huyu ni miongoni mwa watu wa kitengo wanaoamua mambo ya nchi hata kama si ya haki , hafai kuwa Rais , yote machafu ya Tanzania yumo .Pinda alifaa kuwa Rais ajabu makamba na membe akaingia tano bora watu wenye uwezo wa uongozi wakaachwa
Watanzania hatuna wasiwasi tunajua Rais Samia 2025 hana mpinzani hataakisema agombee 2030 hana mpinzani maana amefanya maendeleo makubwa sana ndani ya mwaka mmoja imagine akikamilisha miaka 10 au zaidi ya 10 Tanzania tunatua juu sana