Pindi Chana hafai kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo

Pindi Chana hafai kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia Wanaccm wenzake kwamba, Nanukuu , "KAMA UNAMPENDA MTU KWA SABABU YA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI” Mwisho wa kunukuu.

9228A7CE-DA5B-4EB7-855A-6B50DDF9878F.jpeg


Ni lazima Mamlaka ya Uteuzi ijifunze kutafuta watu wengine nje ya hawa watu wa TISS au watoto wa viongozi. Watanzania ni zaidi ya 60 milioni, haiwezekani wote hawa wasiwe na akili ila akili iwe kwa watoto wa viongozi, au hawa TISS wa kupachikwa ama na wale mamluki wenye Koneksheni tu , Hii si sawa hata kidogo.

Pindi Chana hana uwezo wa kuwa Waziri popote pale , kumpachika Wizarani kwa kulazimisha ni kudumaza maendeleo , kuna ulazima gani wa yeye kuwa Waziri wakati hana Uwezo , mbona Makada wa ccm huko Tiss na Kwingineko wako wengi tu , si wapachikeni wenye uwezo basi?

JamiiForums-787880945.jpg
 
Makamu wa rais amesema leo kuwa wizara ya utalii imejaa pesa na mitego ya pesa huwenda amezila au mtego umenasa

USSR
Kama amezila huku kwengine anakopelekwa hatokula , kwanini asipumzishwe tu?
 
Back
Top Bottom