Dr Justice
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 797
- 855
Pindi Chana
Jenester Muhagama na
Kairuki wote hawa hawafai kuwa mawaziri ajabu kila awamu wapo kama vile hakuna wengine wenye uwezo.
mpendwa hata mimi nikihojiwa namna wanavyopeana vyeo nitasema kwa jazba kwanini wawe wao tu miaka yote wakati kuna watu wengi wasomi nchi hii?Mnakomaa ma walewale kwanini?Toka tunasoma shule ya msingi tunasikia familia ya kikwete,kinana,makamba,pindi chana,umi mwalimu,ndalichako,membe why?Mnatuletea chukibhana watalam na wasomi wa kila fani wapo wapeni fursa.Kupeana kindg kunadumaza ufanisi ndiyo mana wizi,ufisadi na kutowajibishana kumekitiri.Mi ctaki mavyeo yenu wapeni hawa wengine nitafurahi.Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia Wanaccm wenzake kwamba, Nanukuu , "KAMA UNAMPENDA MTU KWA SABABU YA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI” Mwisho wa kunukuu.
View attachment 2518743
Ni lazima Mamlaka ya Uteuzi ijifunze kutafuta watu wengine nje ya hawa watu wa TISS au watoto wa viongozi. Watanzania ni zaidi ya 60 milioni, haiwezekani wote hawa wasiwe na akili ila akili iwe kwa watoto wa viongozi, au hawa TISS wa kupachikwa ama na wale mamluki wenye Koneksheni tu , Hii si sawa hata kidogo.
Pindi Chana hana uwezo wa kuwa Waziri popote pale , kumpachika Wizarani kwa kulazimisha ni kudumaza maendeleo , kuna ulazima gani wa yeye kuwa Waziri wakati hana Uwezo , mbona Makada wa ccm huko Tiss na Kwingineko wako wengi tu , si wapachikeni wenye uwezo basi?
View attachment 2518739
Huenda alikotoka ameharibu kwa mikono yake mwenyewe!!Umejuaje hafai na ndo kwanza kachaguliwa??
"Ni rahisi kupata kazi ukiwa kwenye kazi"Pindi Chana
Jenester Muhagama na
Kairuki wote hawa hawafai kuwa mawaziri ajabu kila awamu wapo kama vile hakuna wengine wenye uwezo.
Ndio wanafiti kwenye nafasi hiyo kwa serikali hii ya ccm. Kelele zao zinasaidia kuonyesha kazi inaendelea. Wizara inashikiriwa na katibu mkuu, waziri yeye kazi yake ni kuchukua madesa na kuyapigia kelele bungeni, baada ya hapo ni kutembelea utekelezaji kunyoshea kidole utekelezaji uendelee huko field. Mimi ugonjwa wangu katiba nzuri ya kuseti watu gani wakamate nafasi hizi. Ili kupunguza matumiz ya kodi zetu.Hajawahi kuwa na uwezo wowote kiuongozi huyu mama, ishu ni moja tu ni mpiga kelele mithiri ya akina Sophia Simba ...kiufupi hana tofauti na akina Sophia Simba ama Zakia Meghji
USSR katka ubora wake, ametoa maoni kwa mujibu wa katiba sio kumzodoa ok. Sote ni wananchi wa Tanzania, sote tunajenga Tanzania lakini pia sote tunauchungu na Tanzania yetu ok.Hii picha inahusiana vipi na habari, nyie wapinzani subirini mchaguliwe mjenge serikali yenu hii ya sasa haiwahusu msitupangie
USSR
Babu yake alipigana bega kwa bega na mkwawa dhidi ya wajerumani. 🤷🏼♂️😂Kwani huyu unayemuona Ni bint wa Nani Bab ake alipata kuwa Nani hapa nnchini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hiyo wizara wangenipa mimi,, nina uzoefu na mambo ya utamaduni, mila na desturi za mtanzaniaAcha wale zikiisha wataanza kulana wao kabla ya kufika kwetu
Jamani, umi si wajuzi tu, kaibuka wakati wa bunge la katiba?.mpendwa hata mimi nikihojiwa namna wanavyopeana vyeo nitasema kwa jazba kwanini wawe wao tu miaka yote wakati kuna watu wengi wasomi nchi hii?Mnakomaa ma walewale kwanini?Toka tunasoma shule ya msingi tunasikia familia ya kikwete,kinana,makamba,pindi chana,umi mwalimu,ndalichako,membe why?Mnatuletea chukibhana watalam na wasomi wa kila fani wapo wapeni fursa.Kupeana kindg kunadumaza ufanisi ndiyo mana wizi,ufisadi na kutowajibishana kumekitiri.Mi ctaki mavyeo yenu wapeni hawa wengine nitafurahi.
Aiseeee !!Babu yake alipigana bega kwa bega na mkwawa dhidi ya wajerumani. [emoji2373][emoji23]
Halafu baada ya muda na wewe umemuanzishia Uzi Pindi Chana kwamba hafai. Kumbe mmejimilikisha Upambe na Ukosoaji mnataka kila kitu mfanye nyie?Hii picha inahusiana vipi na habari, nyie wapinzani subirini mchaguliwe mjenge serikali yenu hii ya sasa haiwahusu msitupangie
USSR
Bila kuliondoa hili kokolo la kijani, tutaendelea kurudi nyuma kimaendeleo.Wenzetu Kenya walishaachana na habari ya KANU siku nyingi na wanasonga mbele vibaya sana!Siku hz ccm na serikali yake wameona TISS ndo roho yao, ukienda kwa watendaji kata 70% ni hao hao... Makatibu tarafa ni hao hao, wakuu wa wilaya ni hao hao, makatibu tawala wa wilaya, ni hao hao.. wakuu wa mikoa nao pia...hii yote ni uoga wa kimadaraka tu, inapelekea hata sehemu inayohitaji mtaalamu wa hiyo fani basi anaachwa analetwa kada wa ccm na ambaye ni TISS... Kwahiyo nchi nzima wamejazwa jazwa wao tu hata kama uwezo huo hawana .. na wengi wao kwenye hiyo idara kichwani ni weupe sana, na ndo maana nchi haisogei kimaendeleo.. ni wapigaji na wakifanya ufisadi wanahamishwa hamishwa tu...
Antony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mbolea.Hili jambo huwa linashangaza sana.
Wenye mamlaka kila wakitaka mtu ni kama kuna ka data base kao huwa wanachomoa jina moja maisha yanaendelea.
Sasa kama hoja hapa ni kulimit idadi ya watu wenye ufahamu na namna serikali inavyofanya sioni kama ni sawa maana hii nchi ni ya watanzania na mtanzania kushika nafasi flani pia ni haki yake ya kuzaliwa.
Kwakweli napinga kwa nguvu zote tabia hii mbaya ya kufanya recycling.
[emoji38][emoji38][emoji38]Antony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mbolea.
Mtu kampuni yake ya Sahara anayoiendesha inashindwa ata kulipa Wafanyakazi mishahara!
Hii nchi viongozi wamelaaniwa!!
Halafu baada ya muda kampuni yake ya sahara inafufuka tena mbolea inakuwa haba.Antony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mbolea.
Mtu kampuni yake ya Sahara anayoiendesha inashindwa ata kulipa Wafanyakazi mishahara!
Hii nchi viongozi wamelaaniwa!!