Pindi Chana hafai kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo

Acha WIVU wako utakufa
 
Safi, tupambane sasa ipatikane KATIBA MPYA ili maamuzi ya kipuuzi ya Rais tuweze kuyakataa na kuyapinga kupitia Mahakama
 
Makamba, Aweso, Bashe, Masauni, Jafo, Ummy, Mwigulu, Nape, Pindi, Gwajima, Kairuki, Makame, Ridhiwani wote hawa hawafai kuwa mawaziri
 
Mleta Uzi,nenda kajipange tena!!
Umesema mtu hafai lakini fact hujatoa how?? Anavyoonekana tttu na unavyomuona unahic hafai?? Elimu yake labda!! Kwa kuwa ni mwanamke? Vitu ambavyo ungetamani avifanye km waziri bado hajavifanya ?? Labda hafai kwa kuwa Uliwahi kuishi nae tabia zake unazijuwa Toka mko shule ya vidudu?? Labda kuna mtu anafaa zaidi wewe umemuona unatamani apewe nafasi.......

Sie walalahoi tusio na chama,tu-convice kwa fact lasivyo tutajua tttu ni labda ni chuki binafsi otherwise mliwahi labda kuibiana penseli huko nyuma! Umekuja kulipa kisasi
 
Unalalamika tuuu ila huelezi tatizo lake ni nini? Vinginevyo haya ndo yalee majungu ya kitaifa.
 
Uko uzi mpya humu kumhusu huyo mama kutoka huko South Afrca ambako Hangaya yuko ziarani , majibu utapata humo
 
Uko uzi mpya humu kumhusu huyo mama kutoka huko South Afrca ambako Hangaya yuko ziarani , majibu utapata humo
Yale yale.....Mtu Fulani hafai,
Kwanini hafai...
Kuna ck kuna mtu aliwahi kuandika kuwa hafai,

Ck nyingine mkisema Fulani hafai,toa fact
Taja na watu wako unaohic wanafaa,
Ili wapewe nafasi (kwa fact)
 
Yale yale.....Mtu Fulani hafai,
Kwanini hafai...
Kuna ck kuna mtu aliwahi kuandika kuwa hafai,

Ck nyingine mkisema Fulani hafai,toa fact
Taja na watu wako unaohic wanafaa,
Ili wapewe nafasi (kwa fact)
hayo niliokutaka usome ni ya leo leo wala si ya mwaka juzi
 
Huyu Dkt. Waziri wa michezo nasikia pia anapenda michezo
 
Unaweza kuta kweli hana uwezo ila nidhamu na utii ndio vinambeba kupata teuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…