Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

Tushaamka kaka lazima tudeal nao
 
 
Sitaki kuamini kwamba Tangazo lilitoka bila Mamlaka kuridhia. Tusifanywe watanzania ni Mazwazwa hapa ni ile anzisha tatizp then litafutie solution kwa lengo la kutengeneza umaarufu!
Ban iliwekwa na Rais hakuna mwenye mamlaka ya kutengua bila taarifa yoyote
 
Ina maana waziri alikuwa hajapata taarifa kamili kuhusu usafirishaji wa wanyama pori....

Anyway kelele zimesaidia

Ova
Shida ya watendaji wetu ni kule kuwategemea wasaidizi wao wafanye kila kitu halafu wao kazi yao ni kusaini tuu hawana muda wa kufanya mapitio
 
Kwamba walikuwa hawajui? Huku ni kutojiamini sasa
Dogo tuendako hali itakuwa mbaya sana kwa Samia.Kachukua watu waliokataliwa ndio amewapa vyeo na ushauri.Tutarudi mwaka 2015 ambapo yeyote aliyevaa nguo za kijani alikuwa adui wa wananchi,alichapwa.
 

Pindi Chana: heshimu Jf sana. Unataka kuendesha biashara haramu unasema hujui?​

Baada ya ccm kumpata Makamu Mwenyekiti mpya,
Halafu Cabinet ikabadilishwa kwa kumtoa Dr Ndumba..
Kumuweka binti wa kigiriki na kihehe,
Tukajua sasa mbuga zetu zimeingiliwa.
Yajayo yanafurahisha. Lambeni asali,
 
Baada ya kelele wameibuka tena
 
Serikali kukataza hii ni kuchochea ujangili tuu. Huwezi kuwaambia watu walale njaa wakati wanyama wa kuuza wapo. Ni akili finyu.
 
Tutauza wanyama wote na Mungu atulaani tu, ipo siku watalii watakuja huku kwaajili ya kutushangaa
 
Dogo tuendako hali itakuwa mbaya sana kwa Samia.Kachukua watu waliokataliwa ndio amewapa vyeo na ushauri.Tutarudi mwaka 2015 ambapo yeyote aliyevaa nguo za kijani alikuwa adui wa wananchi,alichapwa.
Sio wote waliotumbuliwa walikuwa wabaya bali wengi wao ni hawakuwa upande wa Jiwe..

Kwenye upuuzi Rais achukue hatua.. Kwenye hili kama hakuna atakaetymbukiwa ntajua kulikuwa na maelekezo kiasi kwamba bila pressure ya Watu upuuzi ungeendelea.
 
Atakuwa kaandikiwa kimemo na Mheshimiwa, please stop this, people wanasema sana
 
Mbowe na lissu wanahusikaje kwenye huo ujinga.jambo lifanywe na watu wengine lawama upeleke kwingine.maccm ndio wanaofuja mali za umma wao ndio wanaopaswa kuambiwa.Ata hivyo ni jukumu la kila mwananchi kupiga kelele pale anapoona rasiliamali za nchi zinatumika isivyopasa.Sasa wewe umefanya wajibu wako kiasi gani au unasubiri mbowe na lissu waseme kila kitu.Wewe ndio uanze kuamka.
 
Wale wa jamaa wa falme za kiarabu hawakuja bure Muacheni mama asafirishe wanyama mwaka ujao royal tour itakuwa inafanyika Oman kwa wajomba zao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kipi kinakuumiza mkuu?

Kama raia tu mnataka kuwa na uraia pacha, iweje kwa wanyama kupelekwa huko iwe nongwa?

Huku kuna watu pia,kama tunakubali kuletewa teknolojia ambayo hatunayo sio nongwa pia kupeleka wanyama. Hawaendi bure kule.
Wewe unyang'anywe tu vyeti na chuo chako. Sasa uraia pacha na rasilimali vinaingilianaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…